Uchaguzi 2020 Vijijini mwamko ni mkubwa mno katika mikutano ya Tundu Lissu

Wamepita wanafunzi 2:
2 wanampenda Magufuli
1 anampenda Lissu
1 alikaa kimya

Hivi ninyi CCM mna akili za wapi? Huoni kuwa ... basi tu nikae kimya
IMG-20201016-WA0174.jpg
 
Lowasa alikua anajaza zaidi ya Lisu, shida ni kwamba wengi wanaokwenda kwenye mikutano hiyo ni vijana halafu hawajajiandikisha kupiga kura, bwana mkubwa badala ya kutanga tanga huko duniani angerudi kuhamasisha vijana wajiandikishe kupiga kula, huu ndio ukweli ukubali au ukatae
Makundi mengi yameumia na huu utawala nyomi anazopata lisu ni zaidi ya lowasa lisu anatumia gari anatumia mitubwi kuonana na wananchi wengi zaidi pia

Matumiz ya mitandao yameongezeka leo hii kaangalie mahojiano ya lisu kipindi cha dak 45 cha itv uone zinatembea k ngapi

kwahiyo utaona jinsi ambavyo huku mitandaoni ccm walivyopaya
Mpaka wao wakasema lisu anakubalika mitandaoni tu alivyoanza kupata nyomi wakasema vijana wao hawana vitqmbulisho vya mpigania kura

Sasa hivi sijui imekuaje mpaka wanasema ata mkichagua upinzani ccm ndio inayounga serikali

Jambo linalofanya ccm ishinde ni wizi wa kura wala sio kukubalika tu ndo sababu hawataki watu walinde kura
 
Issue sio madini wala usaliti bali wa tz tunamkubali sana, propaganda zenu pelekeni huko.

Njia pekee ni kuiba kura na ndio kitu ccm inajiamini, hiki Chama kinaenda kufa kwa aibu kubwa.

Na jinsi wananchi walivyobadilika hata system itaacha kumuogopa mzee.
 
Eti Lisu ajulikani vijijini Kama trump tu anajulikana vijijini sembuse Lisu, why ukiwa ccm ni lzm uwe low thinking.
Wawaagize mapolisi waingie kwenye mioyo ya watz walazimishe iipende ccm wao si waamini wa matumizi ya nguvu badala ya akili
 
Ule uwanja wa ndege Chato sasa hivi hataki hata kuusikia umemcost kisiasa big time.
uliona Lisu alivyofika CHato hakuthubutu kabisa kuuongelea.SEhemu zote alizopita usukumani kaanza kuogopa kuuongelea akiugusa tu anaqzomewa na watu
 
Back
Top Bottom