Uchaguzi 2020 Vijijini mwamko ni mkubwa mno katika mikutano ya Tundu Lissu

Echisute

JF-Expert Member
Oct 16, 2018
286
250
Huna Akili Kama BAVICHA wenzio Magufuli hajawa Mhofia wala kumwogopa Kibaraka Lissu Lejea MIGA
Wewe ndiyo kichwa chako kimejaa kamasi kabisa, hivi unafahamu ni kwa kiasi gani Magufuli anamuogopa Lissu? Hata mbogo tu ambaye ni mnyama ukimpiga risasi ikamjeruhi bila kumuua nadhani shughuli yake kama huijui tuulize siye wawindaji.
Shetani siku zote humhofia Mungu pamoja na malaika zake, yaani Jiwe kumhofia Lissu ni pie (3.14). Alafu hiyo ID yako badilisha haraka sana, jiite Dr. Lipumbafu, hakuna Bill duniani mwenye kamasi kichwani kama wewe!
 

Jimbi

JF-Expert Member
Aug 16, 2010
2,798
2,000
Lowasa alikua anajaza zaidi ya Lisu, shida ni kwamba wengi wanaokwenda kwenye mikutano hiyo ni vijana halafu hawajajiandikisha kupiga kura, bwana mkubwa badala ya kutanga tanga huko duniani angerudi kuhamasisha vijana wajiandikishe kupiga kula, huu ndio ukweli ukubali au ukatae
Kwahiyo waliojiandikisha ni wale wanaosombwa na malori kwenye mikutano ya CCM pekee?
 

Turnkey

JF-Expert Member
Jul 9, 2013
6,638
2,000
FB_IMG_1602942109046.jpg

CCM ni ile ile ooh ni ile ile...Huu wimbo CCM wanauchukia siku hizi...
 

Attachments

  • FB_IMG_1602942100411.jpg
    File size
    59.4 KB
    Views
    0

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom