Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 8,380
- 12,575
Yani adhabu yenyewe sio sehemu nyingine ni hapa hapa duniani.Achana na adhabu za kusadikika, hakuna maisha baada ya haya... mfano wako utategemea na imani.
Usipende kutenda lile ambalo wew mwenyewe hutotaka ufanyiwe.