Vijana wenzangu tusimuige Dokta Mwaka tutakuja kusababisha mauaji ya Kimbari

Achana na adhabu za kusadikika, hakuna maisha baada ya haya... mfano wako utategemea na imani.
Yani adhabu yenyewe sio sehemu nyingine ni hapa hapa duniani.
Usipende kutenda lile ambalo wew mwenyewe hutotaka ufanyiwe.
 
Yani adhabu yenyewe sio sehemu nyingine ni hapa hapa duniani.
Usipende kutenda lile ambalo wew mwenyewe hutotaka ufanyiwe.

Nachelea kusema kuwa mfano wa adhabu hauhusiani na hoja yangu, mimi nipo kwenye kuoa wake wengi kwa ‘kadri ya uwezo’.... ni lipi kosa hapo hata nisipende kutendewa..?
 
Nachelea kusema kuwa mfano wa adhabu hauhusiani na hoja yangu, mimi nipo kwenye kuoa wake wengi kwa ‘kadri ya uwezo’.... ni lipi kosa hapo hata nisipende kutendewa..?
Wew una uwezo wa kupenda wake wengi kwa usawa?
 
Hiyo hutokea ikiwa wote wakiamua kufanya hvyo na upendo ukitawala baina yao pia hii hufanywa na mwanaume mwenye busara za kutosha ambao wanajua kuwa wao ni baba wa familia na siyo mwanaume tu....
Baba katika familia ni kiongozi mkuu na ni kichwa katika kuamua vitu katika familia na kamwe msimamo wake haupigwi na mtu yoyote.....Achana na hao wanaojiita wanaume
Unaweza ukawa mwanaume na usiwe baba katika familia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wew una uwezo wa kupenda wake wengi kwa usawa?

Hakuna usawa, nimeeleza huko juu siamini katika usawa.... naweza kutimiza majukumu yanipasayo bila kujali matakwa ya mtu mwingine.

Mradi naamini natimiza majukumu yangu, huwezi kuwaridhisha watu wote kwa usawa.... hata ukiwa na mke mmoja anaweza asiridhike vile vile.

Narudia hili:
Hata wewe mwenyewe huwezi kujipenda kwa usawa, kuna siku unajinyima na siku unajipendelea.... sembuse mtu mwingine..!!
 
Dr mwaka kila Siku ana uwezo wa kuingiza zaidi ya 1m kutoka kwa Wateja wake wagonywa, nguvu za kiume, wagumba, uti ,pressure, na magonjwa mengine yote anayotangaza anatibu.

Wewe na mbupu za mbili tu jidai unaoa wake wawili.
 
Usiyaamini sana maisha mbele ya camera watu wanapohojiwa kwa furaha na kuelezea kila jema na kila fanikio huku wakificha mapungufu changamoto na ya sirini mabovu
Hao walioolewa ni binadamu wa kawaida walioolewa na binadamu mwingine wa kawaida.. Hakuna mkamilifu kila mmoja ana yake ya sirini... Moyo wa mtu ni kiza kinene.. Na mawazo ya mtu ni kama kima asiyetulia kwenye tawi moja... Daima ni kurukaruka.. Akiruka na kushika tawi lisilo imara... Ngeli mpya za kiarifa zitaanzia hapo Martin Kemosabe,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ncha Kali,
Huna hekima yeyote, mkono hauwezi kujisema unasamani zaidi ya mguu au mguu zaidi ya kidevu, kila kiungo chwa mwanadamu kinategemeana na kufanya mwili mmoja.

Lakin mke wako mmoja akiuzunika kwa sababu yako, jua lazima adhabu itakipata.
 
Mbona tunashawishiana kuoa mke mmoja?
Kwa Nini kuoa wengi tukatazane?
Uoga wa maisha na kujikuta unatekeleza matakwa ya wanawake ndio kumewafanya wanaume wanaishi maisha ya shida Sana.
Mwingine unakuta anapewa sex Mara moja kwa mwezi naye anajiona ameoa.
Eti "tunalea watoto"
Watoto wenyewe kachomekewa wa2 Kati ya wa3

Sent using Jamii Forums mobile app
Tukisema serikal ipime DNA daaadek utakuta mitoto yote Sio yako aiseee alafu wako 5 ndio utajua maharage Ni mboga au soup ya kushishia kwa chapati za mama. Amina


Na ndio maana wahenga wansema mtoto Ni wa mama pekee na ndio maana anateseka nae Sana kushinda baba na hata mtu akitaka kukuroga akipata jina la mama Ni rhis kushinda la baba

kilicho akilini kitumie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom