Watu wanajidanganya kwamba mwanamke ni tabia lakini nao wamejiongeza siku hizi, unaweza kumchunguza mwaka mzima lakini anajifanyisha tu ana tabia mzuri, kivumbi kinaanza kutimka ukishanasa kwenye mtego wake wa kumvisha pete hapo utaiona kila rangi yake maana anajua ushaingia kingi huwezi kumtoka kirahisi...Umeongea ukweli, ndoa ya kikristo humfanya mwanamke kuridhika na kujiona kaumaliza mwendo. Na anaweza fanya visa kwa kujiamini maana anajua hakuna kuachwa kumbe wanaume wa leo ngumu kuvumilia upuuzi
Ndoa za kikristo ni kumuondolea uhuru wake wa asiili aliopewa mwanaume ndio maana michepuko imeanza kuonekana ni jambo la kawaida.Usikimbilie ndoa kijana utaukondesha moyo
Usikimbilie ndoa kijana utaukondesha moyo
Mwanamke anaweza kubehave vizuri tu ila bhana akishaolewa anakuwa na confidence za kipumbavu na roho mbaya inaanza hapo.Watu wanajidanganya kwamba mwanamke ni tabia lakini nao wamejiongeza siku hizi, unaweza kumchunguza mwaka mzima lakini anajifanyisha tu ana tabia mzuri...
Dini ya kweli ni moja tu inoendana na matakwa ya mwili ya mwanadamu.
Haiwezekani uishi na mtu mpk kifo kikutenganishe wakati kiuhalisia haswaa iyo hali inakataa
Talaka zipo ili kukerebishana tabia
Acha udini...........utaferi maishaWaislamu wajinga wajinga ndio wanaona kuoa oa kila siku wake wengi ni ufahari.
Waislamu wenye akili kina Kikwete, bakhressa, kina Mo, kina Gsm, kina...
Acha udini...........utaferi maisha
Mtoa mada ni mkiristo na ameyatoa haya aliyoyaandika kwa uchungu ...kuna point kaumiaMimi na mtoa mada nani kaanza kaleta udini?
Dini ya kweli ni moja tu inoendana na matakwa ya mwili ya mwanadamu.
Haiwezekani uishi na mtu mpk kifo kikutenganishe wakati kiuhalisia haswaa iyo hali inakataa
Talaka zipo ili kukerebishana tabia
Mtoa mada ni mkiristo na ameyatoa haya aliyoyaandika kwa uchungu ...kuna point kaumia
Kikwete yupi huyo, kama ni huyu aliewahi kuwa rais humjui vizuri.Waislamu wenye akili kina Kikwete, bakhressa, kina Mo dewji, kina Gsm, kina hussein mwinyi , kina Mafuruki ,awadh wana mke mmoja miaka yote
Kikwete yupi huyo, kama ni huyu aliewahi kuwa rais humjui vizuri.
Mwinyi alikuwa na mke wa zaida kama hukujua
Mme wa Irene uwoya ni tajiri mkubwa tu kwenye hio list, ndie anaemfanya uwoya ale bata zote hapa town.
Pamoja na kutokukimbilia ndoa ndoa bado vijana mioyo inakonda na mileage ya vikojolea vyao ikizidi kusomaUsikimbilie ndoa kijana utaukondesha moyo