simu kariakoo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Vijana wauza simu Kariakoo acheni utapeli mara moja

    Kuna Vijana hapo mjini Kariakoo kazi yao nikuuzia watu simu used kwa bei za dukani. Pia wanauza simu fake kwa bei ya juu. Je, Hapa Tanzania hamna shirika la kupambana na simu feki?
  2. N

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Watu wawe makini na Mtandao wa 'Simu za Mtumba' Kariakoo

    Kariakoo (Dar) kwa siku za hivi karibuni kumeibuka wimbi la kubwa la biashara ya simu zilizopachikwa jina kama 'Simu za Mtumba' ambazo uuzwa kwa bei nafuu, simu hizo ni za 'brand' mbalimbali nisingependa kuyataja hapa. Udadisi nilioufanya kwa miezi kadhaa ambayo nimekuwepo Kariakoo nimegundua...
Back
Top Bottom