Vijana watano (below 40 years) wanaofaa kwa nafasi ya Katibu Mkuu CCM taifa

Leo nitawaongelea vijana watano (5) Wenye Umri chini ya Miaka 40 ambao naamini wanafaa kwa nafas hii kubwa kabisa nchini. Nimeona nijadili vijana kwa sababu utawala wa JPM umejielekeza zaidi katika kujenga Taifa imara kiuchumi na vijana ndio nguvu kazi ya Taifa. Inawezekana wasipate lakini miongoni mwao akipata mmojawao kwangu ni mafanikio makubwa.

1) PAUL CHRISTIAN MAKONDA
Maarufu kwa jina Simba wa Vita. Ana Misimamo, hayumbi mbunifu na mtiifu kwa Mamlaka. Ana Shahada ya Chuo Kikuu Ushirika Moshi na Shahada ya pili ya Chuo Kikuu ESAMI. Amefanya kazi nzuri sana akiwa DC Kinondoni na Kisha RC Dar es Salaam. Amejitosa hadharani kupambana na wauza madawa ya kulevya jambo lililoweza mtofautisha na vijana wengi.

Makonda anayo huruma kwa vijana wanaongamia kwa madawa ya kulevya. Ukimtathimini Makonda unamwona kijana atafika mbali sana bila kujali anapita wapi. Pamoja na kushindwa kura za maoni Jimbo la Kigamboni, bado ndiye kijana maarufu ambaye hakauki midomoni mwa watanzania. Makonda anafit sehem yoyote utayomweka. Leo akipita sehem yoyote lazima watu wageuke.

2) ANTONY JOHN MTAKA
Amekuwa Mkuu wa Mkoa Simiyu na Rais Shirikisho la Riadha Nchini. Ana Shahada ya Utawala Chuo Kikuu Mzumbe na amekuwa DC Wilaya za Hai na Mvomero. Rais Magufuli aliwahi mtaja kwamba ndiye RC wa mfano nchini. Anajitambua na hapapariki. Mtaka anajitambulisha kwa agenda ya viwanda Mkoani Simiyu akiwa na uwezo mkubwa wa kushirikiana na wenzale kuleta matokeo chanya. Mtaka ni kijana wa makamo mwenye agenda kwenye eneo lake. Uzoefu kwenye Chama unaeza mfanya aisuke vyema CCM chini ya Dkt Magufuli. Pamoja na kugombea ubunge bila mafanikio huko Jimbon kwake Musoma, ni kijana ataifaa CCM.

3) DAVID MWAKIPOSA KIHENZILE
Ana Shahada ya Uzamili ya Utawala katika Biashara kutoka Chuo Kikuu Dar es Salaam na Shahda ya Uzamili ya Diplomasia ya Uchumi kutoka Chuo Kikuu cha Kurasini. Kwa sasa anaendelea na Shahada ya Uzamivu. Tofauti na vijana wenzake wengi, yeye ameanzia uongozi ngazi za Chini Serikalini kama Mtendaji Kata akipanda ngazi hatua kwa hatua hadi ukatibu Tawala Jiji la Arusha kabla hajachaguliwa kuongoza Shirika la Kimataifa la Redcross. Mwaka 2019 alishinda kwa kishindo nafas ya ubunge Jimbo la Mufindi akipata 97% na baadaye kuchaguliwa Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda Biashara na Mazingira.

Ni kijana mkimya na mwenye maono na mikakati asiye na kelele. Taaluma yake ya diplomasia sambamba na Utawala katika Biashara vinaweza saidia sana Chama kuendelea kutekeleza sera ya Chama kujitegemea kimapato. Ndani ya Mwaka mmoja alioongoza Redcross imekuwa maarufu kila kona ya Nchi. Tofauti na vijana wenzake, amejotokeza kuomba ridhaa na kuaminiwa jambo linalomweka katika mizania ya kiongozi wa aina yake mbeleni.

4) HUMPHREY HEZRON POLE POLE
Huyu ni Mwenezi Taifa, Mbunge wa Kuteuliwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Serikali za Mitaa Bungeni. Amefanya kazi nzuri sana ya uenezi kwa mafanikio makubwa. Ninaamini HP atatufaa sana kwani Ukatibu Mkuu ni hatua moja kutoka alipo sasa. Pamoja na kwamba hajawahi jitokeza kwenye siasa za ushindani lakini ni kijana ambaye anao mvuto wa kipekee kila anaposimama kuzungumza.

5) DEO PANCRAS NDEJEMBI
Ana Shahada ya Uzamili katika Utawala wa Masoko. Ni Naibu Waziri Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora na Mbunge wa Jimbo la Chamwino aliyeshinda kwa 98%. Amekuwa DC Kongwa na amefanya kazi kwenye Mashirika binafsi alikojipatia uzoefu wa kutosha. Ni kijana mwema na mnyenyekevu asiye na makuu na rafiki wa kila mtu.

Akiwa kama anaweza unganisha vyema watumishi, wanachama na viongozi. Ndejembi aliwahi gombea mara ya kwanza hakushinda na hakukata tamaa ndio maana mwaka huu ameshinda kwa kishindo. Ndejembi, ana upeo mkubwa kufanya kazi kwenye nyanja za kila aina jambo ambalo ni mtaji kwa CCM.

Nafasi ya Katibu Mkuu wa Chama sio ya watoto. Hapo namuona Dr. Slaa kwa mbaaaliii.... Au January Makamba au Nape
 
Duh kwa Namba 1 & 5 hamna kitu hapo

Sent from my Moto E (4) using JamiiForums mobile app
 
Mwandishi wa hii makala ni bashite mwenyewe au mtu wake wa karibu. Nasema hivyo kwani mtu mwenye ufahamu hawezi kumpendekeza huyu mtu.
 
WAPIGA RAMLI MNA KAZI, JIWE ATATOKA KIVINGINE MTASHANGAA
 
Kigogo anaweza akawaharibia wote kama alivyomharibia Kidata

Mtu akitaka kukuahribia uteuzi wowote ampe jina Kigogo atangaze, inakuwa mwisho wa uteuzi
 
Usifanye nafasi ya Ukatibu Mkuu wa CCM sawa na Chadema. Unakosea sana. Kumbuka unazungumzia chama kilichoshika dola ya watu 63milioni. Pili, kumbuka CCM haikusajiliwa mwaka 1992. Takataka zote ulizotaja hapo ni wanafunzi katika siasa! Katibu Mkuu tunamjua!

Hizi takwimu za sensa ipi!!
 
Leo nitawaongelea vijana watano (5) Wenye Umri chini ya Miaka 40 ambao naamini wanafaa kwa nafas hii kubwa kabisa nchini. Nimeona nijadili vijana kwa sababu utawala wa JPM umejielekeza zaidi katika kujenga Taifa imara kiuchumi na vijana ndio nguvu kazi ya Taifa. Inawezekana wasipate lakini miongoni mwao akipata mmojawao kwangu ni mafanikio makubwa.

1) PAUL CHRISTIAN MAKONDA
Maarufu kwa jina Simba wa Vita. Ana Misimamo, hayumbi mbunifu na mtiifu kwa Mamlaka. Ana Shahada ya Chuo Kikuu Ushirika Moshi na Shahada ya pili ya Chuo Kikuu ESAMI. Amefanya kazi nzuri sana akiwa DC Kinondoni na Kisha RC Dar es Salaam. Amejitosa hadharani kupambana na wauza madawa ya kulevya jambo lililoweza mtofautisha na vijana wengi.

Makonda anayo huruma kwa vijana wanaongamia kwa madawa ya kulevya. Ukimtathimini Makonda unamwona kijana atafika mbali sana bila kujali anapita wapi. Pamoja na kushindwa kura za maoni Jimbo la Kigamboni, bado ndiye kijana maarufu ambaye hakauki midomoni mwa watanzania. Makonda anafit sehem yoyote utayomweka. Leo akipita sehem yoyote lazima watu wageuke.

2) ANTONY JOHN MTAKA
Amekuwa Mkuu wa Mkoa Simiyu na Rais Shirikisho la Riadha Nchini. Ana Shahada ya Utawala Chuo Kikuu Mzumbe na amekuwa DC Wilaya za Hai na Mvomero. Rais Magufuli aliwahi mtaja kwamba ndiye RC wa mfano nchini. Anajitambua na hapapariki. Mtaka anajitambulisha kwa agenda ya viwanda Mkoani Simiyu akiwa na uwezo mkubwa wa kushirikiana na wenzale kuleta matokeo chanya. Mtaka ni kijana wa makamo mwenye agenda kwenye eneo lake. Uzoefu kwenye Chama unaeza mfanya aisuke vyema CCM chini ya Dkt Magufuli. Pamoja na kugombea ubunge bila mafanikio huko Jimbon kwake Musoma, ni kijana ataifaa CCM.

3) DAVID MWAKIPOSA KIHENZILE
Ana Shahada ya Uzamili ya Utawala katika Biashara kutoka Chuo Kikuu Dar es Salaam na Shahda ya Uzamili ya Diplomasia ya Uchumi kutoka Chuo Kikuu cha Kurasini. Kwa sasa anaendelea na Shahada ya Uzamivu. Tofauti na vijana wenzake wengi, yeye ameanzia uongozi ngazi za Chini Serikalini kama Mtendaji Kata akipanda ngazi hatua kwa hatua hadi ukatibu Tawala Jiji la Arusha kabla hajachaguliwa kuongoza Shirika la Kimataifa la Redcross. Mwaka 2019 alishinda kwa kishindo nafas ya ubunge Jimbo la Mufindi akipata 97% na baadaye kuchaguliwa Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda Biashara na Mazingira.

Ni kijana mkimya na mwenye maono na mikakati asiye na kelele. Taaluma yake ya diplomasia sambamba na Utawala katika Biashara vinaweza saidia sana Chama kuendelea kutekeleza sera ya Chama kujitegemea kimapato. Ndani ya Mwaka mmoja alioongoza Redcross imekuwa maarufu kila kona ya Nchi. Tofauti na vijana wenzake, amejotokeza kuomba ridhaa na kuaminiwa jambo linalomweka katika mizania ya kiongozi wa aina yake mbeleni.

4) HUMPHREY HEZRON POLE POLE
Huyu ni Mwenezi Taifa, Mbunge wa Kuteuliwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Serikali za Mitaa Bungeni. Amefanya kazi nzuri sana ya uenezi kwa mafanikio makubwa. Ninaamini HP atatufaa sana kwani Ukatibu Mkuu ni hatua moja kutoka alipo sasa. Pamoja na kwamba hajawahi jitokeza kwenye siasa za ushindani lakini ni kijana ambaye anao mvuto wa kipekee kila anaposimama kuzungumza.

Huyu ni Mwenezi Taifa, Mbunge wa Kuteuliwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Serikali za Mitaa Bungeni. Amefanya kazi nzuri sana ya uenezi kwa mafanikio makubwa. Ninaamini HP atatufaa sana kwani Ukatibu Mkuu ni hatua moja kutoka alipo sasa. Pamoja na kwamba hajawahi jitokeza kwenye siasa za ushindani lakini ni kijana ambaye anao mvuto wa kipekee kila anaposimama kuzungumza.

5) DEO PANCRAS NDEJEMBI
Ana Shahada ya Uzamili katika Utawala wa Masoko. Ni Naibu Waziri Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora na Mbunge wa Jimbo la Chamwino aliyeshinda kwa 98%. Amekuwa DC Kongwa na amefanya kazi kwenye Mashirika binafsi alikojipatia uzoefu wa kutosha. Ni kijana mwema na mnyenyekevu asiye na makuu na rafiki wa kila mtu.

Akiwa kama anaweza unganisha vyema watumishi, wanachama na viongozi. Ndejembi aliwahi gombea mara ya kwanza hakushinda na hakukata tamaa ndio maana mwaka huu ameshinda kwa kishindo. Ndejembi, ana upeo mkubwa kufanya kazi kwenye nyanja za kila aina jambo ambalo ni mtaji kwa CCM.
Sipangiwi cha kufanya
 
Back
Top Bottom