Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,890
- 6,899
ni kweli mkuu kuporomoka kwa maadili na kushindwa kujizuia ndilo tatizo hasa kwa vijana wetu wa sasa,na ikitokea leo hii wakasema tunaurudia utamaduni wetu wallahi vile tutalia na moyo.
Kikubwa kianchokosekana ni self control. Kiazi cha leo ambacho kinakosa malezi ya msingi kifamilia tofauti na kizazi kilichotutangulia ambacho vijana walikuwa karibu na familia zao kwa muda mrefu na hivyo kupata malezi ya msingi kwa maisha yao.
Labda ni vyakula vya siku hizi....
Mi pono ndo inawasababishia.
Sasa Wallah.... umemuingizaje hapa ktk uzi huu!! Tafadhali sista usimshirikishe!wenye kandambili kama mm wallah enzi hizo zisijirudie,chuchu zinasimama wakati wa kupiga deki mweh
wenye kandambili kama mm wallah enzi hizo zisijirudie,chuchu zinasimama wakati wa kupiga deki mweh