Vijana wanaojiita wapuuzi waanzisha mchakato wa kujiajiri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vijana wanaojiita wapuuzi waanzisha mchakato wa kujiajiri

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Ni Mimi Msiogope, Jun 2, 2012.

 1. N

  Ni Mimi Msiogope JF-Expert Member

  #1
  Jun 2, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 352
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  WAPUUZI MOvement ni jina la kushangaza lakini pia linastaajabisha mtu kujiita hivyo!...
  Juzi Alhamisi asubuhi nikiwa nasikiliza Radio Passion FM ofisini kwangu nilishangaa kusikia vijana wanne wakiwa kwenye studio hiyo wajifafanua maana ya WAPUUZI MOVEMENT...Nilicheka japokuwa baadaye na mimi nilijiona ni MPUUZI!..
  Lengo lao kubwa ni kukusanyana kwa ada ya shilingi 10,000 kila mmoja kwa vijana 1000 ambapo wanalenga kukusanya jumla ya 10,000,000/= na kutengeneza filamu (Kwa kuanzia)... Baada ya kuuza hiyo filamu wanatarajia kupata 100,000,000/= ambapo watafanya miradi mingine yenye ajira kwao...
  Wameamua kujiita wapuuzi kwa kuwa wamepuuzwa na Serikali na kutokupatiwa fursa za ajira au Mikopo yenye Tija... Walikaribisha wanachama kwa kuwa hadi sasa wamefikia wanachama 700 kwa hiyo bado wanachama 300. Huo ni mwanya na fursa kwa vijana wengine kuungana nao au kubuni kitu kitakachozalisha ajira. Mwenyekiti wao niliyekumbuka jina lake ni Deus Amani na vijana wengine Katibu wao na viongozi wengine.

  Nimeona niwajulishe hapa jamvini ili tuone namna gani tunaweza kuungana nao au kuwashauri,
   
 2. mashami

  mashami Senior Member

  #2
  Jun 2, 2012
  Joined: May 8, 2012
  Messages: 183
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  me mwenyewe mpuuzi so ni member
   
 3. kelvito

  kelvito JF-Expert Member

  #3
  Jun 2, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kajiandikishe basi huwezi kuwa member bila kujiandikisha bwana!
   
 4. mashami

  mashami Senior Member

  #4
  Jun 2, 2012
  Joined: May 8, 2012
  Messages: 183
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  siku nyingi nishakua registerd
   
 5. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #5
  Jun 2, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  kwa nini wasiwe wapuuzwa?wapuuzi kukiri/kujiita kuwa ni wapuuzi.Niwao ndio wanjitendewa ingawa inaonekana kuwa wao ndio wametendewa.
   
 6. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #6
  Jun 2, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Hao kweli nin wapuuzi, hawajui madhara ya kujiita WAPUUZI na kuwa hiyo ndy official name yao, baadae wakigundua impact a hilo jina katika shughuli zao za kujitafutia maendeleo ndy watagundua Upuuzi walioufanya watajiona WAPUMBAVU!!!! Lengo lao ni zuri, lakini pia strategy yao inaweza isiwe nzuri sana, hasa wazo lao la kutumia mtaji wao wa kwanza kuigiza filamu ambayo iko likely zaidi kuwaletea loss....wanajipeleka kuwa exploited na kupoteza hata kidog walichonacho hvo baadae watakuwa WAPUUZI haswaa! wanatakiwa waangalie njia nzuri ya kuwekeza hizo 10M, hasa kwenye uzalishaji, wakijirasimisha itawawia rahisi zaidi, lakini wakienda kibongofleva ni kazi bure na upotevu wa muda na pesa pia!:bange:
   
 7. M

  Mpalisya Imbogo Member

  #7
  Jun 3, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 53
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Badilisheni jina.
   
 8. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #8
  Jun 3, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Jina zuri, linafaa, waendelee nalo.
  Nawashauri waje JF kuomba michango. Kama wana uwezo wa kuzalisha mil. 100 toka kwenye mil. 10 basi wana akili sana na wanastahili tuwachangie.
   
 9. M

  Mohamedmussa Ng'onye Member

  #9
  Jun 3, 2012
  Joined: Jun 3, 2012
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unajiandikisha wapi ukitaji kujiandikisha
   
 10. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #10
  Jun 3, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Kava husadifu maudhui ya kitabu
   
 11. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #11
  Jun 4, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  mkuu hilo jina lao mi silikubali kabisa
   
 12. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #12
  Jun 4, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  hata mimi silikubali thus y nikasema kava limesadifu maudhui wapuuzi hufanya mambo ya kipuuzi
   
 13. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #13
  Jun 4, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Mleta thread ni bora ukawaambia hao Vijana wajaribu kubadili jina la kikundi chao, JINA LA BIASHARA AU KIKUNDI LINA UMUHIMU WA KIPEKEE KATIKA BIASHARA

  Watu wengi huwa tunachulia jina la biashara kirahisi ;lakini ni moja ya kazi ngumu sana, na ukikosea hapo inakuwa ni hasara kwako,

  Moja ya sifa za Jina zuri la Biashara ni kwamba linabeba kile ambacho unafanya, sasa hao wapuzi, unaweza kuta wanafanya ishu za KIPUZI tu, na ndo maana yake,
   
 14. stroke

  stroke JF-Expert Member

  #14
  Jun 4, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 13,384
  Likes Received: 6,563
  Trophy Points: 280
  wakali wa kitaa tumeshaliandikisha brela..
   
 15. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #15
  Jun 4, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Kwa aina ya biashara wanayosema wanaifanya ni show business so kujiita jina kama hilo sio inshu sana wao wamesema wanataka kufanya film ambayo ni show business angalia hata duniani kote watu wanaofanya show business wanajiitra majina ya ajabu mfano
  BAD BOY ENT
  COCCAINE MUSIC
  na still wanafanikiwa so hilo ni la kuliangalia sana
   
 16. M

  Malila JF-Expert Member

  #16
  Jun 4, 2012
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Sis vijana wa zamani tunawakumbuka akina UB 40 wa kule UK, sasa sijui hawa kwa jina hili itakuwaje.
   
 17. N

  Ni Mimi Msiogope JF-Expert Member

  #17
  Jun 5, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 352
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nadhani unapowashauri kama hutaki wafanye wanachokifanya ambacho nina imani kuwa walishafanya uchunguzi nilitegemea uwaelekeze cha kufanya badala ya kusema tu juu juu kuwa wafanye uzalishaji... Hayo maneno hayana tofauti na yanayotolewa na serikali inayowapuuza vijana!... Nenda mbele zaidi useme wauze vitumbua au maandazi na nini faida yake kwao.
   
 18. N

  Ni Mimi Msiogope JF-Expert Member

  #18
  Jun 5, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 352
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata watakaowapuuza nao ni Wapuuzi... Jina hilo linasadifu ukweli wa watanzania wengi ambao hupenda kupuuza kila kitu.. hata wao wangejiita ALMASI au DHAHABU bado wangepuuzwa kwa kubezwa,NK... Hata hivyo hilo jina ndilio lililowavutia kuchangia na si biashara yao.. Siku moja utatamani kuona hiyo filamu iliyotengenezwa na WAPUUZI ikoje...Tayari umewaungisha KIPUUZI PUUZI
   
 19. N

  Ni Mimi Msiogope JF-Expert Member

  #19
  Jun 5, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 352
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kujiandikisha piga simu Namba 0712166298
   
 20. N

  Ni Mimi Msiogope JF-Expert Member

  #20
  Jun 5, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 352
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Zitawafikia Mkuu.. Watakuja tu humu
   
Loading...