Vijana waliooa wanakwaza sana

Vijana waliooa wanakwaza sana

Mwacheni atafute pesa jua litapo zama bila kuziona ndo atajua hajui
Unadhani BENZOS, BILL GATE, DANGOTE na Tajiri wa India (mwenye kampuni ya magari ya Tata) wanalijua hili?

NB:- wotee HAWAJAOA.

Kuna wale wazee ambao wake zao wamekufa uzeeni, hadi sasa NAO WANAJUA HAWAJUI ?

Braza acha kutegemea mtu, furaha yako I ndani yako.

#YNWA
 
Me Nilikuwa Kama wewe mwaka Jana Ila mwaka huu nimeamua TU kuoa na sio kuoa naishi naye TU Kama mke na mume na na enjoy Sana
 
Unadhani BENZOS, BILL GATE, DANGOTE na Tajiri wa India (mwenye kampuni ya magari ya Tata) wanalijua hili?

NB:- wotee HAWAJAOA.

Kuna wale wazee ambao wake zao wamekufa uzeeni, hadi sasa NAO WANAJUA HAWAJUI ?

Braza acha kutegemea mtu, furaha yako I ndani yako.

#YNWA
Kama utazipata kama za hao uliowata sawa.
Ukizikosa utajua hujui muda uta tangaza ukifika najua itakua siri yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom