Afro king
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 531
- 574
You will never walk alone💯💯
Kila mtu ana plan yake ya kuoa pale akifikisha umri flani kuoa sio sifa ila kuwa na ela alaf mdogo ndio mahala pake kitaalam tunaita "Molodoilide Oh! My""
Kila mtu ana plan yake ya kuoa pale akifikisha umri flani kuoa sio sifa ila kuwa na ela alaf mdogo ndio mahala pake kitaalam tunaita "Molodoilide Oh! My""
Likizo yangu ya mwaka huu ilifika.
Nikaona likizo hii nikai-spend home (Dar es salaam) kule nilikokulia (kwa shangazi).
Sasa bwana kwenye hii likizo Kuna jambo linatokea halafu linanikera sanaaaa tena hasaaaa.
Hatupendi maswali yenu ya KIWAKI.
Tuendelee kutafuta hela "If you think money does not bring happiness, nenda kamuulize yule mtumishi wa Umma aliyenyimwa posho yake na muhasibu moyo wake ulivyo"
#YNWA