Vijana wa Zamani Tupeni Ujanja

Vijana wa Zamani Tupeni Ujanja

"Wadada wazarauni vijana, vijana watumieni sana wadada"

Mwisho mseme ngoma droo
 
Shida za zamani zilikua zinawahi kuisha sana ila siku hizi mtu una shida miaka nenda rudi.

Ndiyo maana nikasema siku hizi badala ya sisi kuvumilia shida, Shida sasa ndiyo zinatuvumilia sisi...


Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom