Vijana wa Zamani Tupeni Ujanja

Vijana wa Zamani Tupeni Ujanja

Maisha tafuteni na ndugu zenu mkipata tutakuja.....
sijui nani anaetaka kujipa tabu na viumbe nyie, uvumiliwe una kiatu chako kimoja kilichoisha soli, godoro kama ulimi na jagi la tokyo, dada wa watu ajitoe akupende siku ukipata unaanza "Kweli nampenda, wife material ila haendani na mie" tafuta tu kwanza asee kama hutaki kutafuta peke ako tafuta hata na dadako
Sisi ndio wanaume na nyie ndio wanawake tutafika kweli kwa style hii.
 
Maisha tafuteni na ndugu zenu mkipata tutakuja.....
sijui nani anaetaka kujipa tabu na viumbe nyie, uvumiliwe una kiatu chako kimoja kilichoisha soli, godoro kama ulimi na jagi la tokyo, dada wa watu ajitoe akupende siku ukipata unaanza "Kweli nampenda, wife material ila haendani na mie" tafuta tu kwanza asee kama hutaki kutafuta peke ako tafuta hata na dadako
Nitafute maisha halafu mtu ajiingize kwa mbele? Hell naw! Im good!
Unless naye awe kamili gado.
 
Nitafute maisha halafu mtu ajiingize kwa mbele? Hell naw! Im good!
Unless naye awe kamili gado.
Basi tafuta uishi na vyombo vyako, na mtungi wako wa gas, na kabati, makochi na mapazia yako nk
 
Basi tafuta uishi na vyombo vyako, na mtungi wako wa gas, na kabati, makochi na mapazia yako nk
Hayo mbona yashafanyika. Tunagonga besela tu sa hivi, na maisha yanaenda. Mkifika 45 mnaanza kugombana na mademu wapo 25, huwa mnachekesha na kuonekana vituko.
Siwezi kujenga nyumba kwa miaka 10 halafu mdada mtu mzima nimesoma naye alete kitambi chake eti tukae wote.
Hapana aisee, kamsiste fey huyo bodaboda hapo jirani.
 
Skiza ...
Mtoe out na mnunulie zawadi mtoto wa kike, atakupenda. Akikuambia,
  • Utapanga hadi lini?
  • Kama unajenga akikuambia zungushia ukuta na uweke geti kwanza.
Muoe.

Asiposema lolote akawa anaenjoy na kujiachia ..... Huyo wa kugonga tu.
Good
 
Back
Top Bottom