Cowman
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 1,719
- 3,188
- Thread starter
- #21
Mkuu wazazi mara nyingi wanahoji uwezo wa mwanaume, niamini mkuu tena wengi tu labda itokee mtoto amekua kichwa ngumu ndiyo wanamuachia aolewe tu.Umeandika uwongo ndugu yangu!
Vijana wa sasa hivi hawapangiwi mchumba na wazazi!
Mabinti wa sasa hivi wao ndio watafutaji .
Sasa wewe sijui uko dunia ya ngapi walahi!
Jiongeze kidogo uwe mkeli!
That’s all!