Cowman
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 1,719
- 3,188
Wazazi wetu walio wengi walioana wakiwa ndio wanaanza maisha, yaani unaoa ukiwa na kitanda tu. Wife anakuja mnafight hadi life linakaa sawa. Trust me most of them walianza kwa style hii, just do a simple research go and ask your father.
Lakini siku hizi hahaha don't try this at home, mzee MKUU unatakiwa kujipanga ndio uoe. Na wazazi wa siku hizi nao wamecharuka lazime wachimbe sana kutaka kujua je huyo mchumba yupo SAWA KIUCHUMI.! Lakini mbona nyie mlioa mkiwa hamana kitu.
Dada zetu nao wanajazana SUMU tu, utasikia SHEMEJI ni yule mwenye HELA kama hana ni mume wa dada.