Vijana wa kitambo chetu

 
Nakubaliana na ww ndugu yangu... na ukweli ni kwamba ukishaanza 30+ tu ndo kila kitu ulichofanya hapo awali kinajirudia kichwani haswa ukiwa bado upo katika hali ya kupambana..
Kikubwa ni tunatakiwa kukubaliana na hali tulizonazo kwa wakat huu na tusiingize vichwan mwetu vile tulivyovipoteza, tuamin tunatakiwa kujaribu tena na tena
#DietryOrGetrich
Life begins at 50
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…