RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 60,039
- 137,774
Si alikuwa amefungwa pingu?Kwa hiyo marehemu alikua mtu hatari....anatembea na kisu?ulitaka askari afe?
Si alikuwa amefungwa pingu?Kwa hiyo marehemu alikua mtu hatari....anatembea na kisu?ulitaka askari afe?
ukorofi wao ni pale unapowaudhi ila bila hivyo ni wavumilivu sana na wana ushirikiano sana hata ukiwafuata ukiwa na shida au tatizo mi nabarikiwa sana na huu ukooKwanza nianze kwa kutoa pole kwa familia ya Suguta ambayo imepata msiba wa kijana wao. Nikiri pia kuifahamu familia ya Heche kwa sababu tunatoka maeneo ya karibu nyumbani ni kijiji cha Nyabisaga na ukoo wa Heche unaishi vijii vya Nyabitocho, Kitagasembe, Sirari, Tarime na wengine wilaya serengeti.
Nimeona bandiko la mdau mmoja akihoji "Polisi wana nini na vijana wa Heche" ni kweli pia kwamba vijana wa Heche wamekuwa wakikumbana na masahibu mbalimbali na jeshi la polisi lakini mara nyingi inatokana na ukorofi wao, vijana hawa wamekuwa wanakuwa wakorofi, wakaidi na mara nyingi wamekuwa wakiizuia jeshi la polisi kufanya shughuli zao inafika kipindi vijana hawa wanawazaba vibao askari wa usalama barabarani vibao.
Kuna matukio ya ukorofi wao wamekuwa wanafanya hata kwa watu wa kawaida, mfano ukihitilafiana na mmoja wanaitana wanakuja ukoo mzima na kushambulia.
Mambo haya mhe. Heche anayajua na alishawahi kukiri kipindi anaomba kura na akasema atawakataza.
Wito wangu kwa mbunge Heche kaa chini zungumza na familia yenu zile zama za utemi zilishapita, waambie wajifunze kuheshimu askari wetu wa jeshi la polisi.
YAANI CHADEMA TANGU WASHINDE JIMBO LA TARIME YAANI MMEKUWA MKITAFUTA VISABABU KUICHAFUA FAMILIA YA WATU
Kumbe marehemu alikuwa na kisu!!
Kwa hiyo marehemu alikua mtu hatari....anatembea na kisu?ulitaka askari afe?
Kuna mwana moja hivi tulipiga nae kitabu kitambo nae alikuwa anakula bangi hatariii skuli hadi chuo jamaa anazimua kitu halafu muhuni balaa juzi nasikia mwaka jana nasikia alijiunga na jeshi LA polisi aise siamini kuwa angekutana na Hugo jamaa angepona kwanza jamaa akilewa in hatariiiiSio jambo la kufurahia wala kushabikia mtu anapouwawa lakini ukweli ni kwamba watu wengi wanajifanya wababe na wakorofi wanaishia kuuwawa au kupata ulemavu mkubwa.
Zama za ubabe na undava wa kijinga na kishamba zimepitwa na wakati kitambo.
Sasa hivi hata huko jeshi la polisi wapo watemi na walishakuwa wahuni kabla ya kujiunga na kazi hiyo, hivyo ukiwaletea dharau za kifala wanajilipua wanakuzingua mbaya kama vile tujuavyo wahuni hawataki na hawawezi kuvumilia dharau na usela mavi.
ulikua na party ya kimya kimya. Polisi huwa wanachoka sometimes ku deal na dizaini kama hizi wote ni wakurya hivyo ilikua nani ataanza.Mmmmh kama ni kweli bac pale juzi baada yalile tukio wasinge pata ushirikiano kutoka kwa ndugu zao jamaa na marafiki zao. Kwa watu wakorof ambao hawezi kupata support kama ile ya juzi cyo kwa umati ule halafu we utakua umetumwa.
hayo ni majina ya kabila la wajita/wakwaya 'nya' hutumika kwa wanawake na 'ma' kwa wanaume.sorry nina swali nje ya mada " kwanini majina mengi ya sehemu za musoma yanaanzia na neno "nya"? neno hili lina maana gani?
mshenz sana tausi wa kiumbwa, Akwilina naye alikuwa mkorofi hadi police wakampiga risasi?Kwanza nianze kwa kutoa pole kwa familia ya Suguta ambayo imepata msiba wa kijana wao. Nikiri pia kuifahamu familia ya Heche kwa sababu tunatoka maeneo ya karibu nyumbani ni kijiji cha Nyabisaga na ukoo wa Heche unaishi vijii vya Nyabitocho, Kitagasembe, Sirari, Tarime na wengine wilaya serengeti.
Nimeona bandiko la mdau mmoja akihoji "Polisi wana nini na vijana wa Heche" ni kweli pia kwamba vijana wa Heche wamekuwa wakikumbana na masahibu mbalimbali na jeshi la polisi lakini mara nyingi inatokana na ukorofi wao, vijana hawa wamekuwa wanakuwa wakorofi, wakaidi na mara nyingi wamekuwa wakiizuia jeshi la polisi kufanya shughuli zao inafika kipindi vijana hawa wanawazaba vibao askari wa usalama barabarani vibao.
Kuna matukio ya ukorofi wao wamekuwa wanafanya hata kwa watu wa kawaida, mfano ukihitilafiana na mmoja wanaitana wanakuja ukoo mzima na kushambulia.
Mambo haya mhe. Heche anayajua na alishawahi kukiri kipindi anaomba kura na akasema atawakataza.
Wito wangu kwa mbunge Heche kaa chini zungumza na familia yenu zile zama za utemi zilishapita, waambie wajifunze kuheshimu askari wetu wa jeshi la polisi.
Kwaiyo unatakaje?Polisi wana kosa la kuua, lakini tukirudi upande wa pili hawa vijana ni wakorofi sana hasa huyo marehemu, alikuwa akifanya matukio pale Sirari anakimbilia Kenya.
Acha stories za ajabu, Wakila badilikeni vinginevyo mtakufa tuuuu.Porojo hizi Akwilina hakuwa mkorofi, yule kijana wa mbeya aliyebebwa juu juu hakuwa mkorofi, Mwangosi hakuwa mkorofi, jeshi la polisi ndio wakorofi wanafanya kazi kinyume na sheria hivi kweli nchi yenye utawala wa sheria inaingia akilini kumchoma kisu cha mgongoni mtu aliyeko mikononi mwa polisi maana hata kama alikua anatoroka distance ya kumchoma kisu maana yake aliweza kumkwida, bora hata ingekua risasi! Kisu? Mbulaee!