Reginald L. Ishala
JF-Expert Member
- Jun 18, 2011
- 3,810
- 6,802
Wamekusikia!
Hacheni kupotosha Mada hapo juu, molembe haja Sema polisi kuua ni sahihi, ila anachokisema ni kwamba hawa jamaa Heche family sio watu wazuri kwa ujumla. Kwa nini ham jiulize maswali huyo polisi aliye fanya mauaji naye ni mkurya sasa inabidi tuangalizie vizuri hiyo picha ilivyo, utakuta hawa jamaaaa wana tofautiana koo yaani mkila huwa hawaivi na baadhi ya koo za kikurya na ndio inaweza kuwa chanzo cha kifo cha huyo dogo.Molembe hii habari leo hapana..
Zipo njia sahihi za kushughulika na mtu/watu wakorofi..
Kile kitendo walichofanya Polisi hakikubariki ni cha kulaani..
Unakumbuka kesi ya Zombe..
Sasa inaonekana Polisi siyo mahali salama tena kwa mtu yoyote.
Kumbuka wote ni wakurya(aliyeuwa na aliyeuwawa)Sizungumzii marehemu hapa, Nazungumzia vijana wa familia yote kwa ujumla, lakini pia jiulize mpaka askari yule kufikia kumchoma kisu alikerwa na nini?
kwahiyo ukiwa mkorofi ndo uawe?Kwanza nianze kwa kutoa pole kwa familia ya Suguta ambayo imepata msiba wa kijana wao. Nikiri pia kuifahamu familia ya Heche kwa sababu tunatoka maeneo ya karibu nyumbani ni kijiji cha Nyabisaga na ukoo wa Heche unaishi vijii vya Nyabitocho, Kitagasembe, Sirari, Tarime na wengine wilaya serengeti.
Nimeona bandiko la mdau mmoja akihoji "Polisi wana nini na vijana wa Heche" ni kweli pia kwamba vijana wa Heche wamekuwa wakikumbana na masahibu mbalimbali na jeshi la polisi lakini mara nyingi inatokana na ukorofi wao, vijana hawa wamekuwa wanakuwa wakorofi, wakaidi na mara nyingi wamekuwa wakiizuia jeshi la polisi kufanya shughuli zao inafika kipindi vijana hawa wanawazaba vibao askari wa usalama barabarani vibao.
Kuna matukio ya ukorofi wao wamekuwa wanafanya hata kwa watu wa kawaida, mfano ukihitilafiana na mmoja wanaitana wanakuja ukoo mzima na kushambulia.
Mambo haya mhe. Heche anayajua na alishawahi kukiri kipindi anaomba kura na akasema atawakataza.
Wito wangu kwa mbunge Heche kaa chini zungumza na familia yenu zile zama za utemi zilishapita, waambie wajifunze kuheshimu askari wetu wa jeshi la polisi.
hayo ni majina ya kabila la wajita/wakwaya 'nya' hutumika kwa wanawake na 'ma' kwa wanaume
mfano
nyasatu =jinsia ya kike'
masatu= jinsia ya kiume
nyafuru =jinsia ya kike'
mafuru jinsia ya kiume
kwa hiyo usishangae majina mengi ya kike yanaanzia 'nya' na ya kiume huanzia 'ma'
Kwa kuwa si wazuri ndiyo wauwawe acha kuwa na mawazo potofu..Hacheni kupotosha Mada hapo juu, molembe haja Sema polisi kuua ni sahihi, ila anachokisema ni kwamba hawa jamaa Heche family sio watu wazuri kwa ujumla. Kwa nini ham jiulize maswali huyo polisi aliye fanya mauaji naye ni mkurya sasa inabidi tuangalizie vizuri hiyo picha ilivyo, utakuta hawa jamaaaa wana tofautiana koo yaani mkila huwa hawaivi na baadhi ya koo za kikurya na ndio inaweza kuwa chanzo cha kifo cha huyo dogo.
Kwanini unadhani unachosema wewe ndiyo ukweli wenyewe?Siongelei askari hapa, hata mimi nalaani mauaji yale ila ninachokisema ndio ukweli wenyewe.
NdioUna amini hivyo?
Acha Kutetea Mauaji wewe MremboNiwapi kasema polisi wana haki ya kuua
Mada ni Ukorofi wa vijana ukoo wa Heche
Ndio
Ok kwa hiyo George Magele Masatu lilikuwa JITAhayo ni majina ya kabila la wajita/wakwaya 'nya' hutumika kwa wanawake na 'ma' kwa wanaume
mfano
nyasatu =jinsia ya kike'
masatu= jinsia ya kiume
nyafuru =jinsia ya kike'
mafuru jinsia ya kiume
kwa hiyo usishangae majina mengi ya kike yanaanzia 'nya' na ya kiume huanzia 'ma'
Usiniambie zakaria saiz kanywea kama mkateWatu wa Tarime na Sirari, wengi wao kukiwa na mtu ndani ya familia awe na pesa au awe na cheo au awe na rafiki mwenye cheo serikalini huwa na ukorofi wa kipumbavu hujawahi ona. Kwa wanaokumbuka mwaka 2004 kulikuwa na askari mkubwa kwa cheo hapo Tarime alikuwa ni mjaluo yule bwana, watoto wake hakuna ambalo ungemwambia lililosawa akalitii, rejea matukio aliyokuwq akiyafanya Zakaria na kundi lake la vijana.
kama hakufoji basi ni mjitaOk kwa hiyo George Magele Masatu lilikuwa JITA
Yaani ukiwa hujui , Nenda kwenye jamii ya hawa watu, utashangaa kuona maisha ya kibabe na utemi. Kutembea na visu ni kama kuwa na IPhone. Matumizi ya visu ni kama kuweka bundle ya kujirusha ama niongezee tafadhali. Ndiyo maana police wanaita Kanda maalumu. Usiropoke.... kaa kimya, hujui kitu hapo. Sheria za hapa Kanda maalumu huwezi kuzitumia sehemu nyingine.Wakorofi ni polisi ndo walioua