Vijana wa Heche ni wakorofi, waonywe

Vijana wa Heche ni wakorofi, waonywe

Polsi wanamafunzo ya kuwadhibiti wakorofi sio kuwaua ndo maana wakorofi wako magereza
Sio kuwadhibiti tu hata askari akizidiwa nguvu sio lazima amkamate wakati mwingine anatakiwa amwache amwekee mtego akiwa na askari wenzake wanakuja kumbeba
 
Kama nakuona...
Nafsi yako inavyofurahi kwa kuuliwa kwa huyo kijana...

... hawa vijana ni wakorofi sana hasa huyo marehemu, alikuwa akifanya matukio pale Sirari anakimbilia Kenya.
......
Yawezekana mkuu akawa mmojawapo.
Mtoa mada inaonekana ww ni mmoja wa Askari mbona unaumia sana, wao kuua raia unaona hamna tatzo.
 
Siungi mkono mauaji yale, lakini ukiuliza watu wengi marehemu ndio alikuwa mkorofi. Na sijui ni kwanini askari yule alishindwa kujizuia mpaka akafanya mauaji yale.

Ukija kwa mtazamo wako huu nadhani unatamani kuwa, Si Wakina Heche tu bali yeyote aliyewahi kukutana na masahibu ya hao polisi, basi atoke akajitoe muhanga.
Maneno yako, sio mazuri kabisaaaa. Usiongeze zaidi kwani unaamsha mbwa aliye lala. Hata kama mtu ni mkorofi kiasi gani. Polisi wetu wamefunzwa mbinu za kumdhibiti na kumleta kwenye sheria.
Kumbuka, aliyeuawa alikuwa kafungwa pingu na kilichomuua ni kisu chake mwenyewe alichokuwa kanyang'anywa na huyo huyo muuaji wake.
Ati marehemu alikuwa mkorofi!! Kwa hiyo wakorofi tuwapige visu?? Nasema, nimekuchukia bure tu
 
Kwanza nianze kwa kutoa pole kwa familia ya Suguta ambayo imepata msiba wa kijana wao. Nikiri pia kuifahamu familia ya Heche kwa sababu tunatoka maeneo ya karibu nyumbani ni kijiji cha Nyabisaga na ukoo wa Heche unaishi vijii vya Nyabitocho, Kitagasembe, Sirari, Tarime na wengine wilaya serengeti.

Nimeona bandiko la mdau mmoja akihoji "Polisi wana nini na vijana wa Heche" ni kweli pia kwamba vijana wa Heche wamekuwa wakikumbana na masahibu mbalimbali na jeshi la polisi lakini mara nyingi inatokana na ukorofi wao, vijana hawa wamekuwa wanakuwa wakorofi, wakaidi na mara nyingi wamekuwa wakiizuia jeshi la polisi kufanya shughuli zao inafika kipindi vijana hawa wanawazaba vibao askari wa usalama barabarani vibao.
Kuna matukio ya ukorofi wao wamekuwa wanafanya hata kwa watu wa kawaida, mfano ukihitilafiana na mmoja wanaitana wanakuja ukoo mzima na kushambulia.
Mambo haya mhe. Heche anayajua na alishawahi kukiri kipindi anaomba kura na akasema atawakataza.
Wito wangu kwa mbunge Heche kaa chini zungumza na familia yenu zile zama za utemi zilishapita, waambie wajifunze kuheshimu askari wetu wa jeshi la polisi.
Ushauri murua.
 
Molembe[emoji117] [emoji603][emoji117] Milembe [emoji541]
 
Nimeona bandiko la mdau mmoja akihoji "Polisi wana nini na vijana wa Heche" ni kweli pia kwamba vijana wa Heche wamekuwa wakikumbana na masahibu mbalimbali na jeshi la polisi lakini mara nyingi inatokana na ukorofi wao,

Je!! ni haki yao kuuawa kinyama!? Mahakama zipo kwaajili ya nani kama siyo watu wa aina hiyo!?
 
Polisi wana kosa la kuua, lakini tukirudi upande wa pili hawa vijana ni wakorofi sana hasa huyo marehemu, alikuwa akifanya matukio pale Sirari anakimbilia Kenya.
Hakuna ulichoandika wewe mtu akijua haki zake tu anaitwa mkorofi? Kama wanazaba polisi vibao mbona hawashtakiwi?
 
ni kweli nipo sirari....the heche family ni wakorofi kabisa haina mfano bt that one doesnt guarantee them to be killed....its tym mheshimiwa to share something with the family about their behaviour....ni wakorofi SANA
 
Watu wa Tarime na Sirari, wengi wao kukiwa na mtu ndani ya familia awe na pesa au awe na cheo au awe na rafiki mwenye cheo serikalini huwa na ukorofi wa kipumbavu hujawahi ona. Kwa wanaokumbuka mwaka 2004 kulikuwa na askari mkubwa kwa cheo hapo Tarime alikuwa ni mjaluo yule bwana, watoto wake hakuna ambalo ungemwambia lililosawa akalitii, rejea matukio aliyokuwq akiyafanya Zakaria na kundi lake la vijana.
Wanakuwa juu ya sheria
 
Kwani maneno ya heche yanakuwaga na amani? Wale wanafanana
 
Siungi mkono mauaji yale, lakini ukiuliza watu wengi marehemu ndio alikuwa mkorofi. Na sijui ni kwanini askari yule alishindwa kujizuia mpaka akafanya mauaji yale.
kamanda wao kasema walikuwa wanabishana kwa lugha yao na askar wengine walikuwa hawaelewi mpaka kisu kilipotokezea kikajikamatisha katika mikono ya askari halafunkikaenda kujificha mgongonin mwa marehemu sasa hapo huoni kuwa kikorofi ninkisu tu?
 
This is bull! Polisi wetu wanakuwa shithole kama Trump alivyobaini. Police kumpiga mtu kisu cha mgongoni halafu mnamtetea eti walikuwa wakorofi. Mtu akidai haki, akikataa kuonewa, akijibu badala ya kunyamaza ni mkorofi.
This has to stop la sivyo tunaelekea kubaya.
Uonevi umezidi.
Mbeya kijana mcha Mungu kabisa kauawa na polisi, Akwilina kauawa na wengine watano kwenye maandano wamejeruhiwa na polisi na wanaoshtakiwa kwa hatia ni watu wasip na hatia na sasa Heche! Kesho?????
 
Kwanza nianze kwa kutoa pole kwa familia ya Suguta ambayo imepata msiba wa kijana wao. Nikiri pia kuifahamu familia ya Heche kwa sababu tunatoka maeneo ya karibu nyumbani ni kijiji cha Nyabisaga na ukoo wa Heche unaishi vijii vya Nyabitocho, Kitagasembe, Sirari, Tarime na wengine wilaya serengeti.

Nimeona bandiko la mdau mmoja akihoji "Polisi wana nini na vijana wa Heche" ni kweli pia kwamba vijana wa Heche wamekuwa wakikumbana na masahibu mbalimbali na jeshi la polisi lakini mara nyingi inatokana na ukorofi wao, vijana hawa wamekuwa wanakuwa wakorofi, wakaidi na mara nyingi wamekuwa wakiizuia jeshi la polisi kufanya shughuli zao in afika kipindi vijana hawa wanawazaba vibao askari wa usalama barabarani vibao.
Kuna matukio ya ukorofi wao wamekuwa wanafanya hata kwa watu wa kawaida, mfano ukihitilafiana na mmoja wanaitana wanakuja ukoo mzima na kushambulia.
Mambo haya mhe. Heche anayajua na alishawahi kukiri kipindi anaomba kura na akasema atawakataza.
Wito wangu kwa mbunge Heche kaa chini zungumza na familia yenu zile zama za utemi zilishapita, waambie wajifunze kuheshimu askari wetu wa jeshi la polisi.
Andiko lako kama vile linamashiko, kama unaweza kusanya matukio ya ukorofi wa vijana hao kwa mwezi na mwaka kisha sema kwa matukio hayo vijana wa Heche ni korofi ungekuwa umetusaidia sana. Asante. Boresha kidogo...
 
Kwanza nianze kwa kutoa pole kwa familia ya Suguta ambayo imepata msiba wa kijana wao. Nikiri pia kuifahamu familia ya Heche kwa sababu tunatoka maeneo ya karibu nyumbani ni kijiji cha Nyabisaga na ukoo wa Heche unaishi vijii vya Nyabitocho, Kitagasembe, Sirari, Tarime na wengine wilaya serengeti.

Nimeona bandiko la mdau mmoja akihoji "Polisi wana nini na vijana wa Heche" ni kweli pia kwamba vijana wa Heche wamekuwa wakikumbana na masahibu mbalimbali na jeshi la polisi lakini mara nyingi inatokana na ukorofi wao, vijana hawa wamekuwa wanakuwa wakorofi, wakaidi na mara nyingi wamekuwa wakiizuia jeshi la polisi kufanya shughuli zao inafika kipindi vijana hawa wanawazaba vibao askari wa usalama barabarani vibao.
Kuna matukio ya ukorofi wao wamekuwa wanafanya hata kwa watu wa kawaida, mfano ukihitilafiana na mmoja wanaitana wanakuja ukoo mzima na kushambulia.
Mambo haya mhe. Heche anayajua na alishawahi kukiri kipindi anaomba kura na akasema atawakataza.
Wito wangu kwa mbunge Heche kaa chini zungumza na familia yenu zile zama za utemi zilishapita, waambie wajifunze kuheshimu askari wetu wa jeshi la polisi.
HUYU JAMAAA NI MPUUZI SANA TENA NI MTU WA AJABU SANA CHUKI ZAKE NA WIVU DHIDI YA UKOO WA HECHE KWA SABABU HECHE NI MBUNGE CHADEMA.

NA YEYE YUPO CHAMA KINGINE ANATAKA KUIPAKA TOPE FAMILIA YA HECHE KAMA SILAHA YA KISIASA
 
ni kweli nipo sirari....the heche family ni wakorofi kabisa haina mfano bt that one doesnt guarantee them to be killed....its tym mheshimiwa to share something with the family about their behaviour....ni wakorofi SANA
YAANI CHADEMA TANGU WASHINDE JIMBO LA TARIME YAANI MMEKUWA MKITAFUTA VISABABU KUICHAFUA FAMILIA YA WATU
 
Mleta mada ni mtu wa ajabu sana sana...umeleta kwa chuki na sentiments za koo..hivi unaweza kutaja hasa kwenye ukoo huu aliemzaba trafic makofi ni nani??

Alikamatwa au hakukamatwa? Kwann hakukamatwa? Kama marehemu alikua mkorofi je anastahili kuuwawa tu kisa mkorofi? Hivi wakorofi wanauwawa? Acheni tabia za ajabu hizi ...unajua uchungu wa kufiwa wewe au unaandika tu ili ufurahishe genge..
 
Back
Top Bottom