Vijana wa Heche ni wakorofi, waonywe

Vijana wa Heche ni wakorofi, waonywe

Kwanza nianze kwa kutoa pole kwa familia ya Suguta ambayo imepata msiba wa kijana wao. Nikiri pia kuifahamu familia ya Heche kwa sababu tunatoka maeneo ya karibu nyumbani ni kijiji cha Nyabisaga na ukoo wa Heche unaishi vijii vya Nyabitocho, Kitagasembe, Sirari, Tarime na wengine wilaya serengeti.

Nimeona bandiko la mdau mmoja akihoji "Polisi wana nini na vijana wa Heche" ni kweli pia kwamba vijana wa Heche wamekuwa wakikumbana na masahibu mbalimbali na jeshi la polisi lakini mara nyingi inatokana na ukorofi wao, vijana hawa wamekuwa wanakuwa wakorofi, wakaidi na mara nyingi wamekuwa wakiizuia jeshi la polisi kufanya shughuli zao inafika kipindi vijana hawa wanawazaba vibao askari wa usalama barabarani vibao.
Kuna matukio ya ukorofi wao wamekuwa wanafanya hata kwa watu wa kawaida, mfano ukihitilafiana na mmoja wanaitana wanakuja ukoo mzima na kushambulia.
Mambo haya mhe. Heche anayajua na alishawahi kukiri kipindi anaomba kura na akasema atawakataza.
Wito wangu kwa mbunge Heche kaa chini zungumza na familia yenu zile zama za utemi zilishapita, waambie wajifunze kuheshimu askari wetu wa jeshi la polisi.

Kwa nini msiwafukuze kuwarudisha kwao?
 
Nakumbuka miaka ya nyuma peter zakaria alitandika bakora abiria wake wote kwenye basi kwa sababu za kijinga tuu.
 
Siungi mkono mauaji yale, lakini ukiuliza watu wengi marehemu ndio alikuwa mkorofi. Na sijui ni kwanini askari yule alishindwa kujizuia mpaka akafanya mauaji yale.
Hao watu unaotaka tuwaulizee ndio wapiga kura waliompigia kura heche hadi kushinda ubunge ina maana hao watu kabla hawajamchagua heche ina maana walikuwa hawajui historia ya ukoo wa hecheee kama ni wakorofii .

Wewe mleta utakuwa umetumwaaa kuichafuaaa familia heche kisiasaaa sio bure
 
Ukija kwa mtazamo wako huu nadhani unatamani kuwa, Si Wakina Heche tu bali yeyote aliyewahi kukutana na masahibu ya hao polisi, basi atoke akajitoe muhanga.
Maneno yako, sio mazuri kabisaaaa. Usiongeze zaidi kwani unaamsha mbwa aliye lala. Hata kama mtu ni mkorofi kiasi gani. Polisi wetu wamefunzwa mbinu za kumdhibiti na kumleta kwenye sheria.
Kumbuka, aliyeuawa alikuwa kafungwa pingu na kilichomuua ni kisu chake mwenyewe alichokuwa kanyang'anywa na huyo huyo muuaji wake.
Ati marehemu alikuwa mkorofi!! Kwa hiyo wakorofi tuwapige visu?? Nasema, nimekuchukia bure tu
Kumbe marehemu alikuwa na kisu!!
 
Kama niliskia marehem amepigwa kisu akiwa amefungwa pingu..au mh Heche alitudanganya?
Molembe hii habari leo hapana..

Zipo njia sahihi za kushughulika na mtu/watu wakorofi..

Kile kitendo walichofanya Polisi hakikubariki ni cha kulaani..

Unakumbuka kesi ya Zombe..

Sasa inaonekana Polisi siyo mahali salama tena kwa mtu yoyote.
 
Siungi mkono mauaji yale, lakini ukiuliza watu wengi marehemu ndio alikuwa mkorofi. Na sijui ni kwanini askari yule alishindwa kujizuia mpaka akafanya mauaji yale.
Ulikuwepo eneo la tukio, na kushuhudia kilichotokea?
 
Ukija kwa mtazamo wako huu nadhani unatamani kuwa, Si Wakina Heche tu bali yeyote aliyewahi kukutana na masahibu ya hao polisi, basi atoke akajitoe muhanga.
Maneno yako, sio mazuri kabisaaaa. Usiongeze zaidi kwani unaamsha mbwa aliye lala. Hata kama mtu ni mkorofi kiasi gani. Polisi wetu wamefunzwa mbinu za kumdhibiti na kumleta kwenye sheria.
Kumbuka, aliyeuawa alikuwa kafungwa pingu na kilichomuua ni kisu chake mwenyewe alichokuwa kanyang'anywa na huyo huyo muuaji wake.
Ati marehemu alikuwa mkorofi!! Kwa hiyo wakorofi tuwapige visu?? Nasema, nimekuchukia bure tu
Kwa hiyo marehemu alikua mtu hatari....anatembea na kisu?ulitaka askari afe?
 
Kwanza nianze kwa kutoa pole kwa familia ya Suguta ambayo imepata msiba wa kijana wao. Nikiri pia kuifahamu familia ya Heche kwa sababu tunatoka maeneo ya karibu nyumbani ni kijiji cha Nyabisaga na ukoo wa Heche unaishi vijii vya Nyabitocho, Kitagasembe, Sirari, Tarime na wengine wilaya serengeti.

Nimeona bandiko la mdau mmoja akihoji "Polisi wana nini na vijana wa Heche" ni kweli pia kwamba vijana wa Heche wamekuwa wakikumbana na masahibu mbalimbali na jeshi la polisi lakini mara nyingi inatokana na ukorofi wao, vijana hawa wamekuwa wanakuwa wakorofi, wakaidi na mara nyingi wamekuwa wakiizuia jeshi la polisi kufanya shughuli zao inafika kipindi vijana hawa wanawazaba vibao askari wa usalama barabarani vibao.
Kuna matukio ya ukorofi wao wamekuwa wanafanya hata kwa watu wa kawaida, mfano ukihitilafiana na mmoja wanaitana wanakuja ukoo mzima na kushambulia.
Mambo haya mhe. Heche anayajua na alishawahi kukiri kipindi anaomba kura na akasema atawakataza.
Wito wangu kwa mbunge Heche kaa chini zungumza na familia yenu zile zama za utemi zilishapita, waambie wajifunze kuheshimu askari wetu wa jeshi la polisi.

Kwani kwa mujibu wa sheria wakorofi ufikishwa wapi au ufanywaje? Mahakamani au kudunguliwa visu migongoni na polisi mpaka kufa?
 
Kwanza nianze kwa kutoa pole kwa familia ya Suguta ambayo imepata msiba wa kijana wao. Nikiri pia kuifahamu familia ya Heche kwa sababu tunatoka maeneo ya karibu nyumbani ni kijiji cha Nyabisaga na ukoo wa Heche unaishi vijii vya Nyabitocho, Kitagasembe, Sirari, Tarime na wengine wilaya serengeti.

Nimeona bandiko la mdau mmoja akihoji "Polisi wana nini na vijana wa Heche" ni kweli pia kwamba vijana wa Heche wamekuwa wakikumbana na masahibu mbalimbali na jeshi la polisi lakini mara nyingi inatokana na ukorofi wao, vijana hawa wamekuwa wanakuwa wakorofi, wakaidi na mara nyingi wamekuwa wakiizuia jeshi la polisi kufanya shughuli zao inafika kipindi vijana hawa wanawazaba vibao askari wa usalama barabarani vibao.
Kuna matukio ya ukorofi wao wamekuwa wanafanya hata kwa watu wa kawaida, mfano ukihitilafiana na mmoja wanaitana wanakuja ukoo mzima na kushambulia.
Mambo haya mhe. Heche anayajua na alishawahi kukiri kipindi anaomba kura na akasema atawakataza.
Wito wangu kwa mbunge Heche kaa chini zungumza na familia yenu zile zama za utemi zilishapita, waambie wajifunze kuheshimu askari wetu wa jeshi la polisi.
Inaonyesha ww ni mmoja ya wale polisi wahalifu!
 
Kwahiyo unahalalisha kuuawa kwao? Unatambua kuwa roho ya mwanadamuni mali ya Mungu? Mtu aliyefungwa pingu anaweza kumzaba askari vibao? Umetumia nini kufikiri? Pole sana mpendwa
 
Kwanza nianze kwa kutoa pole kwa familia ya Suguta ambayo imepata msiba wa kijana wao. Nikiri pia kuifahamu familia ya Heche kwa sababu tunatoka maeneo ya karibu nyumbani ni kijiji cha Nyabisaga na ukoo wa Heche unaishi vijii vya Nyabitocho, Kitagasembe, Sirari, Tarime na wengine wilaya serengeti.

Nimeona bandiko la mdau mmoja akihoji "Polisi wana nini na vijana wa Heche" ni kweli pia kwamba vijana wa Heche wamekuwa wakikumbana na masahibu mbalimbali na jeshi la polisi lakini mara nyingi inatokana na ukorofi wao, vijana hawa wamekuwa wanakuwa wakorofi, wakaidi na mara nyingi wamekuwa wakiizuia jeshi la polisi kufanya shughuli zao inafika kipindi vijana hawa wanawazaba vibao askari wa usalama barabarani vibao.
Kuna matukio ya ukorofi wao wamekuwa wanafanya hata kwa watu wa kawaida, mfano ukihitilafiana na mmoja wanaitana wanakuja ukoo mzima na kushambulia.
Mambo haya mhe. Heche anayajua na alishawahi kukiri kipindi anaomba kura na akasema atawakataza.
Wito wangu kwa mbunge Heche kaa chini zungumza na familia yenu zile zama za utemi zilishapita, waambie wajifunze kuheshimu askari wetu wa jeshi la polisi.
Mmmmh kama ni kweli bac pale juzi baada yalile tukio wasinge pata ushirikiano kutoka kwa ndugu zao jamaa na marafiki zao. Kwa watu wakorof ambao hawezi kupata support kama ile ya juzi cyo kwa umati ule halafu we utakua umetumwa.
 
Back
Top Bottom