Vijana wa Heche ni wakorofi, waonywe

Vijana wa Heche ni wakorofi, waonywe

Siongelei askari hapa, hata mimi nalaani mauaji yale ila ninachokisema ndio ukweli wenyewe.
.sorry nina swali nje ya mada " kwanini majina mengi ya sehemu za musoma yanaanzia na neno "nya"? neno hili lina maana gani?
 
Sio jambo la kufurahia wala kushabikia mtu anapouwawa lakini ukweli ni kwamba watu wengi wanajifanya wababe na wakorofi wanaishia kuuwawa au kupata ulemavu mkubwa.

Zama za ubabe na undava wa kijinga na kishamba zimepitwa na wakati kitambo.

Sasa hivi hata huko jeshi la polisi wapo watemi na walishakuwa wahuni kabla ya kujiunga na kazi hiyo, hivyo ukiwaletea dharau za kifala wanajilipua wanakuzingua mbaya kama vile tujuavyo wahuni hawataki na hawawezi kuvumilia dharau na usela mavi.
 
Porojo hizi Akwilina hakuwa mkorofi, yule kijana wa mbeya aliyebebwa juu juu hakuwa mkorofi, Mwangosi hakuwa mkorofi, jeshi la polisi ndio wakorofi wanafanya kazi kinyume na sheria hivi kweli nchi yenye utawala wa sheria inaingia akilini kumchoma kisu cha mgongoni mtu aliyeko mikononi mwa polisi maana hata kama alikua anatoroka distance ya kumchoma kisu maana yake aliweza kumkwida, bora hata ingekua risasi! Kisu? Mbulaee!
 
Polisi wana kosa la kuua, lakini tukirudi upande wa pili hawa vijana ni wakorofi sana hasa huyo marehemu, alikuwa akifanya matukio pale Sirari anakimbilia Kenya.
Polisi wana wajibu wa kuwalinda raia na malizao si kua raia. Raia mkorofi au anaevunja sheria hufikishwa mahakamani si vinginevyo
 
huna lolote umefurahishwa na hili kama nmkorofi kwa mini kisu asichomwe askar na hii we unaona it is a justification for this malice?
 
Kwa hiyo akiwa mkorofi ndo achomwe kisu hadi kufa?na huku akiwa amefungwa pingu?
Sidhani kama kuna sehemu huyo asikari kaumizwa hata kidogo na inavyoonekana kwa majereha hayo kwa marehemu watakuwa walimchangia sana maasikari katika kumuua.
Enyi maasikari siku zenu zinakuja pale ambapo katiba ya nchi itafatwa na kuheshimiwa.
 
Siungi mkono mauaji yale, lakini ukiuliza watu wengi marehemu ndio alikuwa mkorofi. Na sijui ni kwanini askari yule alishindwa kujizuia mpaka akafanya mauaji yale.
Kama niliskia marehem amepigwa kisu akiwa amefungwa pingu..au mh Heche alitudanganya?
 
Siungi mkono mauaji yale, lakini ukiuliza watu wengi marehemu ndio alikuwa mkorofi. Na sijui ni kwanini askari yule alishindwa kujizuia mpaka akafanya mauaji yale.
Yaani Nimeshindwa kukuelewa
Kwa hiyo Unataka kusema kifo ni halali kwake
 
Back
Top Bottom