Vijana wa Dar na Vibegi mgongoni

Vijana wa Dar na Vibegi mgongoni

You are know everybody at Dar es Salaam is pretend is big boss and is have laptop. I am not know why. Every bigman is have laptop. how can people know you have hidden laptop ? It simply carry a bag. wear nice cloth. be smart and you pass as respectful person. You are not carry bag they know you are daladala conductor or you not have many money. Simple trick it use.
 
Acheni ushamba hilo beg ni personal package ,unaweza weka ipad,gadgets yoyote ile ,vitabu hata condom because its safe

Ahsante sana kwa kuwaelewesha c wote huweka vitu udhaniavyo...wengine tu wafanyabiashara twauza headphones,memorycards, simu n.k
 
Nadhan kwa kiswahili ungeeleweka vizur, kimombo shule
 
Ahsante sana kwa kuwaelewesha c wote huweka vitu udhaniavyo...wengine tu wafanyabiashara twauza headphones,memorycards, simu n.k

Mkuu mfanyabiashara halali ataeleweka tu huitaji viulizo, maana utamkuta na Sampo mkononi.

Ila sio hao ndugu zetu kutwa kuchwa na viunga vya Dar na begi tupu.!
 
Ujasiriamali...
wengi wanaweka bidhaa za kutembeza kwa oda maalum kama cd, tshirts, simu na vitu vingine.
Kwanini lakini viwakere??
 
Yaani unavyo washangaa hao hata mimi nakushangaa wewe mtu kaamua kubeba begi liwe na kitu lisiwe na kitu is that your concern hivi kweli mtu mzima unakaa kuangalia vijana wanavyobeba mabegi na unakuja kusema hapa hii ni aibu sisi kama watoto tunajifunza nini sasa?
Kabisa mtu unakaa kuhangaika watu wanabeba nini migongoni mwao?
 
Mkuu mfanyabiashara halali ataeleweka tu huitaji viulizo, maana utamkuta na Sampo mkononi.

Ila sio hao ndugu zetu kutwa kuchwa na viunga vya Dar na begi tupu.!
sio lazima awe na sample mkononi, kama ulikua hujui ndio nakujuza.
kama ana soko maalum kwanini sample iwe mkononi??
 
pita k.koo mtaa wa msimbazi uhuru kama sikosei pa kupanda gari

unakuta katika begi kaweka shati akishakuobia analivaa juu ya ile tishert pale pale
 
  • Thanks
Reactions: awp
You are know everybody at Dar es Salaam is pretend is big boss and is have laptop. I am not know why. Every bigman is have laptop. how can people know you have hidden laptop ? It simply carry a bag. wear nice cloth. be smart and you pass as respectful person. You are not carry bag they know you are daladala conductor or you not have many money. Simple trick it use.
Mweeh...
 
pita k.koo mtaa wa msimbazi uhuru kama sikosei pa kupanda gari

unakuta katika begi kaweka shati akishakuobia analivaa juu ya ile tishert pale pale
Wengi hawajui hilo, ila sio wote wenye tabia za hivyo.
 
Yaani unavyo washangaa hao hata mimi nakushangaa wewe mtu kaamua kubeba begi liwe na kitu lisiwe na kitu is that your concern hivi kweli mtu mzima unakaa kuangalia vijana wanavyobeba mabegi na unakuja kusema hapa hii ni aibu sisi kama watoto tunajifunza nini sasa?
Kabisa mtu unakaa kuhangaika watu wanabeba nini migongoni mwao?

wewe kama Mtoto pitia comments za wadau utajifunza kitu.
 
You are know everybody at Dar es Salaam is pretend is big boss and is have laptop. I am not know why. Every bigman is have laptop. how can people know you have hidden laptop ? It simply carry a bag. wear nice cloth. be smart and you pass as respectful person. You are not carry bag they know you are daladala conductor or you not have many money. Simple trick it use.

Ni nini hiki..
 
Mimi binafsi full time nakuwa na beg lakin uwa naweka ipad,magazines,camera,kitabu etc.

Napenda sana kujisomea popote nilipo sikai kimandazi kama watanzania wengi wafanyavyo
 
wewe kama Mtoto pitia comments za wadau utajifunza kitu.
Nimesoma ila nashangaa kweli mtu kubeba begi empty ni big deal kwako? Sure? Aliweka earphone ulikuwa unajua alitokea wapi na alikuwa anaenda wapi? Kama lilikuwa na kazi huko aliko kuwa anaenda au alikokuwa anatoka? Ok aliweka earphone kipi cha ajabu. Kwani mtu akinunua unampangia matumizi. Kila mtu ana namna ya kuendesha maisha yake ili mradi havunji sheria better uwaache watu na maisha yao uhangaike na yako. Labda kama umeathirika katika shughuli zako kwa ubebaji wa mabegi empty
 
Mimi binafsi full time nakuwa na beg lakin uwa naweka ipad,magazines,camera,kitabu etc.

Napenda sana kujisomea popote nilipo sikai kimandazi kama watanzania wengi wafanyavyo
Asante kwa nyie mnaotumia ipasavyo hivyo vibegi, tatizo ni kwa wale wafuata upepo. Mtu anageuza begi kama kiatu kuwa lazima akivae muda wote.
 
sio lazima awe na sample mkononi, kama ulikua hujui ndio nakujuza.
kama ana soko maalum kwanini sample iwe mkononi??
Yote kumi dada angu we mtu akibeba begi lake wewe inakuuma nini? Kuna watu hawana tofauti na magazeti ya shigongo mtu hadi unathubutu kuchungulia ujue kilichomo kama si umbea si wizi huo. Mimi ukihangaika ujue kwenye begi nimebeba nini naweza kukugeuzia kibao we ndo mwizi
 
sio lazima awe na sample mkononi, kama ulikua hujui ndio nakujuza.
kama ana soko maalum kwanini sample iwe mkononi??

Hiyo ni kwa mfanyabiashara je wengineo, ila mimi naamini wengi ni ulimbukeni.!
 
Back
Top Bottom