Vijana wa Dar na Vibegi mgongoni

Vijana wa Dar na Vibegi mgongoni

Sijui wanaweka nini humo ndani, maana ni kama fashion kwa sasa.
Juzi wakati nipo Taifa kuna kijana nilikaa nae jirani wakati anafungua nikachungulia, Ajabu katoa headphone ya simu na hamkuemo na kitu kingine cha ziada ndani nilichoka sana.

Binafsi naona kama ni ushamba fulani hivi ambao vijana wanalimbukia bila kujielewa.

Mimi ni kijana,naishi Dar na pia ni mjasiliamali. Kiukweli mimi napenda sana kubeba au kutembea na mkoba wangu niendapo sehemu yoyote ile...iwe hapa Bongo,mkoani au hata nje ya nchi.

Mara nyingi ndani ya mkoba wangu naweka na kutembeanavyo vitu vitatu ambavyo ni vya muhimu sana kwangu.
Ipad,driving license,kadi zangu za bank na simu yangu. Na kama ninasafiri kwenda nje ya nchi basi naongezea Air ticket na passport yangu. Mimi siyo brotherman wala tozz ila napenda kubeba huu mkoba kutokana na vitu ninavyopenda kuwanavyo all the time.
Na mkoba wangu ndiyo huu hapa chini. image.jpg
 
Nimesoma ila nashangaa kweli mtu kubeba begi empty ni big deal kwako? Sure? Aliweka earphone ulikuwa unajua alitokea wapi na alikuwa anaenda wapi? Kama lilikuwa na kazi huko aliko kuwa anaenda au alikokuwa anatoka? Ok aliweka earphone kipi cha ajabu. Kwani mtu akinunua unampangia matumizi. Kila mtu ana namna ya kuendesha maisha yake ili mradi havunji sheria better uwaache watu na maisha yao uhangaike na yako. Labda kama umeathirika katika shughuli zako kwa ubebaji wa mabegi empty

Kula 5 mkuu
 
hahaaaa wewe lazima uwe mmoja wapo.
 
Punguza hasira mkuu Nia ni kuhoji je hivyo vibegi vinamatumizi gani.
Ndio maana nimekutana na majibu mengi na nimejifunza kitu japo awali nalikua najua ni wanafunzi wa chuo au watafuta kazi.
 
Nadhan kwa kiswahili ungeeleweka vizur, kimombo shule

Abuhuna. It understand me it not understand ? I am not know why people it not know simple english. If I am write english of inside it will say what ? I am know even deep english of countryside england. Very tough..And if you hear I am speak through the nose deep slang ???
 
Wanasema ni swaga,mi nawashangaa wanaotembea njiani wamevaa headphones zile kubwa masikioni na begi mgongoni kama zile za wacheza mpira wa mamtoni.
Wanaiga sana

Ah ah kiongozi nkiangalia Id tag yako tu umemuuzisha kelvin hart...ndo kuiga..hukoo
 
Mimi ni kijana,naishi Dar na pia ni mjasiliamali. Kiukweli mimi napenda sana kubeba au kutembea na mkoba wangu niendapo sehemu yoyote ile...iwe hapa Bongo,mkoani au hata nje ya nchi.

Mara nyingi ndani ya mkoba wangu naweka na kutembeanavyo vitu vitatu ambavyo ni vya muhimu sana kwangu.
Ipad,driving license,kadi zangu za bank na simu yangu. Na kama ninasafiri kwenda nje ya nchi basi naongezea Air ticket na passport yangu. Mimi siyo brotherman wala tozz ila napenda kubeba huu mkoba kutokana na vitu ninavyopenda kuwanavyo all the time.
Na mkoba wangu ndiyo huu hapa chini.View attachment 176645

i love tha bag OMG...
 
wengine hubeba viroba/makonyag na maji ya uhai au kilmanjaro
 
Loyal style ya chriss brown.Mmesahau na kufunga shati la draft kiunoni. By the way Y.O.L.O japo mi sifagilii kabisa
 
i love tha bag OMG...

Ahsante sana! Mara nyingi huwa napenda kuongea kwa kuonyesha ushahidi (fact) kiukweli hiyo ndiyo begi yangu ninayoibeba kila siku na kila niendapo. Na ikitokea mtu au kibaka siku moja anikwapulie hichi kibegi changu basi nitakufa kwa presha...maana naweka vitu vya muhimu sana vikiwemo vijisenti vyangu.
 
Abuhuna. It understand me it not understand ? I am not know why people it not know simple english. If I am write english of inside it will say what ? I am know even deep english of countryside england. Very tough..And if you hear I am speak through the nose deep slang ???

wewe jamaa ni janga humu JF
 
You are know everybody at Dar es Salaam is pretend is big boss and is have laptop. I am not know why. Every bigman is have laptop. how can people know you have hidden laptop ? It simply carry a bag. wear nice cloth. be smart and you pass as respectful person. You are not carry bag they know you are daladala conductor or you not have many money. Simple trick it use.

Wewe umefanya makusudi au?
Nimejikuta nacheka sana
 
Limbukeni wapo wengi sana ila sio wote wengine waneweka laptop, document, material kwa wanafunzi na wafanyakazi kama waandishi wa habari hakuna hata haja ya kuifanya topic hii ishu ya vibegi mgogngoni, Hata ikiwa fashion au mtu kaweka deki mbovu ni utashi wake inahusu...!
 
Halijanizuia na haliwezi kunizuia chochote, kilichofanya nihoji ni baada ya kuona kijana amebeba begi lina headphone tu. Huu ni ujanja swaga au fashion.?

Unajua baada ya hapo anataka kuweka nini?
 
Mimi ni kijana,naishi Dar na pia ni mjasiliamali. Kiukweli mimi napenda sana kubeba au kutembea na mkoba wangu niendapo sehemu yoyote ile...iwe hapa Bongo,mkoani au hata nje ya nchi.

Mara nyingi ndani ya mkoba wangu naweka na kutembeanavyo vitu vitatu ambavyo ni vya muhimu sana kwangu.
Ipad,driving license,kadi zangu za bank na simu yangu. Na kama ninasafiri kwenda nje ya nchi basi naongezea Air ticket na passport yangu. Mimi siyo brotherman wala tozz ila napenda kubeba huu mkoba kutokana na vitu ninavyopenda kuwanavyo all the time.
Na mkoba wangu ndiyo huu hapa chini.View attachment 176645
Mkuu nimempenda kwa kuwa muwazi kwenye comment yako, japo wengine wanakua wakali hadi kutetea upuuzi.
Sio wote wanabeba hivyo vibegi wanamaana sawa.
 
Punguza hasira mkuu Nia ni kuhoji je hivyo vibegi vinamatumizi gani.
Ndio maana nimekutana na majibu mengi na nimejifunza kitu japo awali nalikua najua ni wanafunzi wa chuo au watafuta kazi.
Mkuu mi hata sina hasira na huwa sichukii am sorry kama nimetumia lugha kali but mkuu hivi unafikiri mtu anaweza kutumia pesa yake kununua kitu ambacho hana kazi nacho?
Na hata katika utumiaji kila mtu anatumia katika namna ile ambayo yeye anafaa. Mi ninachokijua binadamu tumeumbwa tofauti katika mengi kuanzia miili jinsia na hata namna tunavyowaza. Lile ambalo kwako unaweza kuwa unaona ni la maana sana kwa mwengine linaweza kuwa upuuzi and the vice versa is true. Kitu tunachopaswa kujali ni je mienendo yetu ina matokea/impact gani kwa jamii? Kwamba hili suala la vijana kubeba mabegi yenye vitu empty linaweza kuwa na matokea hasi au chanya kwa jamii yetu? Kama halina hayo matokeo basi hatuna haja ya kuhangaika nalo sababu hilo sisi-halitudhuru wala kutunufaisha kwa vyovyote otherwise ni hasara au faida kwa mtumiaji mwenyewe sisi kuingilia sana hadi kuuliza it means tunataka kujua privacy ya mtu tumjue kiundani na je tuna nufaika na nini basi baada ya kujua hizo sababu. Au ni watu wa usalama tuelezane mkuu
 
Back
Top Bottom