ubuntuX
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 1,998
- 2,243
Dah begi nawekea vitu vingi sana,nishawahi kuweka simu za millioni kumi na tano kwenye begi hilo hilo.
Niweka sana pesa kipindi hiko napeleka pesa benki.
Begi nilikua naweka kila kitu kuanzia laptop mapka soksi zangu,vichenji chenji natupia humo,charger,earphone,nikinunua kitu sio kizto naweka kwenye begi.
Begi linasave sana kwa sisi mishentown.