Vijana wa Dar na Vibegi mgongoni

Vijana wa Dar na Vibegi mgongoni

Begi mgongoni ni salama kwa wafanyakazi wenyewe PC binafsi kazini.

Begi mgongoni ni salama kwa wanafunzi wa vyuo vikuu wenyewe PC zao hapa Dar

Begi mgongoni ni salama kwa mafundi wa umeme na electronic wanapoenda kazini

Begi mgongoni ni salama kwa wanamichezo wanapoenda mazoezini

Begi mgongoni ni salama kwa wafanyabiashara wadogo na wa kati kuweka kumbukumbu zao

Begi mgongoni ni fashion kwa mabishoo
begi mgongoni kwa mafundi kujenga
 
KUCHUNGULIA NDNI YA KIBEGI CHA MWENZIO NI SAWA NA KUKODOLEA MACHO SIMU YA MWENZIO WAKATI ANAANDIKA SMS KWENYE GARI.NI KUINGILIA UHURU WA MTU
 
sio vijana tu sasa hivi mpaka watu wazima.....halafu utakuta dume zima kutwa limebeba begi....sasa sijui na wao wanaweka pedi, poda na chupi kama wanawake
Kama huna cha kubeba kaa kimya, sikuizi kilq mtu anafani yake wenye biashara zao wanabeba humo sampo, wenye kusoma wanabeba laptops na madaftari, mafundi wanabeba tools,
Kifupi kila mtu anasababu ya kubeba begi, kama ukikutana na kitu kizuri unawachukulia familia, halafu wee hohehahe unakuja kejeli watu na shughuli zao????!!!!
 
Lkn haka kamtindo kamezuka hivi karibun swal zaman alikuwa hamtumii hizo laptop mbon hatukumiona na hivyo vibegi
Kila kitu na wakati wake, kwani zamani wewe ukikuwa unatumia simu ? Hizi simu zimekuja lini ? Haya mabegi ya mgogoni yamekuja lini ?
Kuna wakati watu wakitumia mifuko ya magunia ! Ulikuwepo weee?????
 
Acheni ushamba hilo beg ni personal package ,unaweza weka ipad,gadgets yoyote ile ,vitabu hata condom because its safe

Yaani mimi sasa ni kama addiction. Ni ngumu kutoka ndani bila begi langu la mgongoni. In fact nisipolichukua sometimes I feel like...I am empty. Maana most of my important stuff natembea nazo.
 
mwendokasi ya feri kwenda kimara ptuu,kidogo nitapike.full mindoo ya samaki abiria mmerundikana km meli ya utumwa.
nilikua najaribu tu kutumi huu usafiri unaoitwa wa kistaarabu ni balaa tupu.nikashuka hapo kisutu nikasongesha home na mashine.
NYODO TU! KUMBE HATA NJINJO HUNA!!!
 
Siku hz ni fashion, ujanja/udenti ukamilike lazima begi mgongoni. Sasa umkute alibeba hilo chini kavaa suali ya jinsi kalegeza matakoni, utachoka!! Mkikutana ghafla kabla ya salamu anapandisha kwanza suluari usione sijui ni chupi/boxer/jezi/kaptura. Yaani SHIDA.
 
Humo huwa kuna vyumba vyao.

Yani begi self contained.. Lina boxer, jeans, t-shirts, vests, toothpaste, toothbrush, hair combs, shoebrush, nail cutter na vitamba ya kijifutia raba zao.

Usisahau lotion na perfume.. Wanakuambia kambi popote..
 
mbona mnajadili vitu vya kawaida sana,huo ni uamuzi wa mtu binafsi,wengine wanaweka document zao muhimu humo,wngine wanabeba madaftari vitabu,PCs,wengine wanabeba vyakula makazini usawa huu utakula kwa mama ntilie uaweza,wengine mafundi ujenzi wanabeba vifaa vyao vya kazi,wengine wanabeba nguo z mazoezi akitoka kazini anapitia gym au jogging tu ya kawaida,kama mtu anabeba begi na halileti madhara kwa mtu mwingine mi sidhani kama kuna tatizo
 
Back
Top Bottom