Vijana wa Dar na Vibegi mgongoni

Vijana wa Dar na Vibegi mgongoni

Yani mtuanabeba begi lake weuna kwazika nini, umeambiwa umsaidie kubeba?.
 
Wanasumbua sana hasa kwenye daladala make mtu analikutwika mgongoni bila hata huruma,kuweka kwenye carrier hawataki![emoji48]
 
Hii kitu sijajua ina maana gani siku hizi asilimia kubwa ya vijana utawakuta wana mabegi mgongoni, nimekua nikidhani labda ni wanafunzi lakini kwa uchunguzi nilioufanya wengi si wanafunzi nahisi hii kitu imekua fashen hapa mjini. Naomba mwenye kujua haya mabegi niya nini anijuze mana kwa mwanafunzi ni kawaida.

Haya mabegi yanakera, watu tunashindwa hata kusimama vizuri kwenye daladala sababu ya vijana kibao wamebeba mabegi mgongoni au labda wasomi wamekua wengi ?
Naomba kufahamishwa tafadhali.
 
Wengi ni ubradhaduu tu, kwan huchunguzi mabegi yenyewe wanabana mikanda kibegi kinapanda juuu.. yan wanajiona wasafiri (rejea: begi mgongoni, na ramani ka mzugu: mwana fa)

Japo tupo tunaowekea vitu vya maan espsecially wanavyuo na wafanyakazi . mfano ukiniona na begi tu mgongoni ujue ndan yake kuna laptop na document za ofisi.
 
Ushasema fasheni.
Unataka maelezo gani tena boss.
Siku hizi hatutumii mabag ya mgongoni kuna ma bag mapya yanavaliwa kiunoni
 
Maisha yetu hayatabiriki.. unaezakutana na zaga lolote ukatia kwny begi babu!
 
Hii kitu sijajua ina maana gani siku hizi asilimia kubwa ya vijana utawakuta wana mabegi mgongoni, nimekua nikidhani labda ni wanafunzi lakini kwa uchunguzi nilioufanya wengi si wanafunzi nahisi hii kitu imekua fashen hapa mjini. Naomba mwenye kujua haya mabegi niya nini anijuze mana kwa mwanafunzi ni kawaida.

Haya mabegi yanakera, watu tunashindwa hata kusimama vizuri kwenye daladala sababu ya vijana kibao wamebeba mabegi mgongoni au labda wasomi wamekua wengi ?
Naomba kufahamishwa tafadhali.
Mimi ni mmoja wapo..inshort ni mfanyakazi so nikiwa home nafanya kazi zangu kupitia laptop na nikiwa ofisini as well. Inshort nalala kwa machale nikiwa natafuta pesa..ukiniona na begi ujue ni laptop, adopter, mouse plus diary nothing more.
 
Nadhani sio kosa. Ni fashion tu.
Na ipo na baada ya muda itapita!
Mbona kuna wakati vijana walikuwa wanapenda kuvaa jeans pana na kipindi hiki fashiob ya jeans nyembamba(za kubana) ndio ipo.
Pia kuna wakati ambapo kijana wa kileo ilibidi abebe begi la mgongoni(day pack) na leo ni hizi pochi(vibegi vidogo)
 
Me naona we unaewashangaa ndo mshamba,kwani mikoba wanayoibeba akina mama ina kazi gani? Kwani kazi ya hivyo vibeg ni kufanyia nini?,au unataka watu watembee wamebeba vitu vyao mikononi.
 
Sijui wanaweka nini humo ndani, maana ni kama fashion kwa sasa.
Juzi wakati nipo Taifa kuna kijana nilikaa nae jirani wakati anafungua nikachungulia, Ajabu katoa headphone ya simu na hamkuemo na kitu kingine cha ziada ndani nilichoka sana.

Binafsi naona kama ni ushamba fulani hivi ambao vijana wanalimbukia bila kujielewa.
Sio Dar ni nchi zima sasa hivi,si wanawake si wanaume..
 
Wengi ni ubradhaduu tu, kwan huchunguzi mabegi yenyewe wanabana mikanda kibegi kinapanda juuu.. yan wanajiona wasafiri (rejea: begi mgongoni, na ramani ka mzugu: mwana fa)

Japo tupo tunaowekea vitu vya maan espsecially wanavyuo na wafanyakazi . mfano ukiniona na begi tu mgongoni ujue ndan yake kuna laptop na document za ofisi.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hapo pa kubana Mikanda na vibegi kupanda juu....labda wanaogopa kuibiwa kwenye dala dala.
 
Back
Top Bottom