Vijana wa Arusha kama Black America

Kumbe wanaume hampendi wenzenu wasifiwe eehe poa nimewaelewa
Tatizo una sifia sifa ambazo hasipo black America Wana miili mikubwa na wameenda hewan kama Hasheem thabiti, sasa ao vijana wako wa Arusha Wana vimwili vidogo vimekonda
 
Huyo dogo janja alikuwa anavaa ma mitumba ya chuga tangu apate pesa kawa msafi kaachana na mamitumba😂😂😂😂😂anaenda na wakati unavaa vip ni shati limepauka kiatu oversize

Makoti pambaneni na hali zenu
 
Nakataa hii picha kuwa ya Arusha
 
Tatizo una sifia sifa ambazo hasipo black America Wana miili mikubwa na wameenda hewan kama Hasheem thabiti, sasa ao vijana wako wa Arusha Wana vimwili vidogo vimekonda
Ni kweli, black americans are giants
 
Nakuona kama Black American eti Bufa kwani nawe ni kijana wa Arusha laazizi..!? 😂 😂
 
Sasa mkuu, ID ataitambuaje? Mfano mimi naweza tumia jina la kike kumbe ni wa kiume, pia hatutumii sura halisi, sasa Melo atamjuaje Bujibuji kiundani? Labda wamtafute kwa GPS!
 
[emoji106][emoji106][emoji106] umetisha kaka, umeeleza vizuri mpaka nimeelewa. Ila wewe ni Mmarekani mweusi, nishajua! Karibu TZ kaka.
 
Seema to vijana wa Arusha kwa nguo za mitumba ni nambari one
 
Tatizo una sifia sifa ambazo hasipo black America Wana miili mikubwa na wameenda hewan kama Hasheem thabiti, sasa ao vijana wako wa Arusha Wana vimwili vidogo vimekonda
Nani kaongelea saizi ya mwili??
 
Wacha kumtisha mwenzako bhana[emoji4]

Cc: Saint Anne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…