Vijana wa Arusha kama Black America

Ndio maana masingle mother wanaongezeka kwa kasi kila uchao.

Sasa hao ndio kwako unaona wanaume wa kuanza nao maisha. Wakukule hadi ufike umri wa kuchoka wanakutema wanarudia wadogo zako unakuja kufungua uzi hapa wanaume wa Arusha wote ni mbwa!
😅😅😅 Mwache arifu ameyaelewa machali ya chuga, machali ya ungalimited, matejoo na sombetini mpaka kwa moromboo.
Sema chuga hamna lomoni nyingi.
 
[emoji28][emoji28][emoji28] Mwache arifu ameyaelewa machali ya chuga, machali ya ungalimited, matejoo na sombetini mpaka kwa moromboo.
Sema chuga hamna lomoni nyingi.
Yechu yechu mwanetu
 
Mh
How do you know!?
 
Sisi hapa Arusha ndio tuna update za ulimwengu mzima. Tutakutana na wazungu ambao ni fresh kabisa wamekanyaga Bongo Kwa mara ya kwanza akitua tu tunae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…