swali la kwanza Lizzy anajibu lake....

kwa yaliyobakiwa asante..
wavute suruali juu
kwa kweli inani boaga sana, napenda a gentleman look, yaani kama idris Elba or Blair Underwood vile wanavyovaa.......... ......... ......... au lastik zimelegea...
Me too

Mweeh!
Tunatofautiana.....mi huwa natamani nipate mjeledi niwatandika pale pale! Malabuku....
duh hawa ni kiboko sanakwa kweli inani boaga sana, napenda a gentleman look, yaani kama idris Elba or Blair Underwood vile wanavyovaa
kwa kweli inani boaga sana, napenda a gentleman look, yaani kama idris Elba or Blair Underwood vile wanavyovaa
Teh teh teh tehwe acha zako bana, kama vp na wewe shusha.

jamani kwani hamna maduka hapoo jamani..

au on line shopping jaribu ....
jaribu hapo kwenye red siku moja huenda ikasaidia kupunguza hii tabia, teh teh teh

Mweeh!
Tunatofautiana.....mi huwa natamani nipate mjeledi niwatandika pale pale! Malabuku....
Natumaini hamjambo wote ...
Wanaume sana sana Vijana
naombeni sana jamani muanze kuvuta suruali zenu juu
au kama mmeamua kulegeza au kuto kufunga mikanda
vaeni Boxes , sagz au Briefs.. ...
Sagz
inaniudhi sana kuona mwanaume/ kijana
amevaaa chupi mpaka miraba ya ****
inaonekana ... vaeni vitu vya maana ndani kama mmnataka
kuvuta hizo suruali chini ...
Asanteeni
hehehe wewe unatafta ban sasa, kuna mod mmoja (jina tunalo), ndio vaa vaa zake hizi.