vijana, vijana (wanaume) naombeni....

Jeans can be saggy without showing your boxers,as a man I prefer baggy jeans to skinny jeans kama wa congo wengi wanavyovaa na vifulana tight(to me thats so gay!).
Kuhusu kuvaa ki-gentleman,hiyo inategemea na swag ya mtu plus ocassion,you may dress up like a gent but if you ain't swagging like a gent,just be thuggish.....be you!

OK Ad!
Umesomeka.....
Kweli haijakaa poa....
Vijana na "usasa" ni ulimbukeni wa kuuza utu.
Ila Ad, kuna mashosti wanazo hizo pozi za kuweka wazi "mistari yao ya ikweta"
Sasa sijui ndio swagga hizo? Mitego? Au style?
Kwa ku-balance hapo, tusaidie na za mashosti sababu hii kitu ni inaboa kwa "utu" wetu kwa ujumla haijalishi ni "boy" or "girl"

sijui nani aliwaambia tunavutiwa na hizo ma briefs na maboxers zao! Sipendi kuona nguo zao za nadni zikiwa nje!

Wengine wanatuachia na mifereji ya suez na mastrech marks kabisa tuyaone vizuri.

Guys....it aint appealing at all!
mifereji ya suez! mbona nyie mnapiga vimini, ukicheki michirizi kibao.

mifereji ya suez! mbona nyie mnapiga vimini, ukicheki michirizi kibao.

Sisi na nani wee Ci?...lol

Ngoja nikwambie, nyie mnavutiwaga na miiguu, makalio na maungo mengine ya kina dada.

wadada wengi wanavutiwa na vifua vya kina kaka/mwananaume msuli...

Sasa hayo ya kutuonesha hivyo vingine mnatukimbiza bana. Si unaona hata Kobello kaponda vi jeans taiti kwa wakaka! Miili yenu hairuhusu bana.

OK Ad!
Umesomeka.....
Kweli haijakaa poa....
Vijana na "usasa" ni ulimbukeni wa kuuza utu.
Ila Ad, kuna mashosti wanazo hizo pozi za kuweka wazi "mistari yao ya ikweta"
Sasa sijui ndio swagga hizo? Mitego? Au style?
Kwa ku-balance hapo, tusaidie na za mashosti sababu hii kitu ni inaboa kwa "utu" wetu kwa ujumla haijalishi ni "boy" or "girl"

Ki vipi yaani ??
unaongelea tukivaa short shots, au mini skirts...

Sisi na nani wee Ci?...lol

Ngoja nikwambie, nyie mnavutiwaga na miiguu, makalio na maungo mengine ya kina dada.

wadada wengi wanavutiwa na vifua vya kina kaka/mwananaume msuli...

Sasa hayo ya kutuonesha hivyo vingine mnatukimbiza bana. Si unaona hata Kobello kaponda vi jeans taiti kwa wakaka! Miili yenu hairuhusu bana.

sijui kwanini
wameondoa kidude cha thanx...

asante kwa ujumbe ila na wadada waovaa viblauzi vidogo, vinaanza kupanda juu halafu waanza kuhangaika kuvishusha watafute njia mbadala ya kujisetiri ....... sawa eeeh

xactly! Sasa hiyo ya juu yenye ni low cut ndo wakaka wanakwazika (wengine wanapenda tena nimewahi kusoma humu JF wenyewe wame confess wakiona wadada wamevaa low cut jeans afu na hiyo ngozi yetu laini ikionekana na ile nanihii bas ina wavutia)

asante kwa ujumbe ila na wadada waovaa viblauzi vidogo, vinaanza kupanda juu halafu waanza kuhangaika kuvishusha watafute njia mbadala ya kujisetiri ....... sawa eeeh

asante ila ningeomba
tubaki ndani ya mada
na kama mnataka kuongelea kuhusu kina
dada muanzishe thread nyingine
asanteni...

2675577922_32e835f2d2_z.jpg

Saggy...no boxers shown.

skinny jeans rocked by Fally Ipupa,they suck!!

xactly! Sasa hiyo ya juu yenye ni low cut ndo wakaka wanakwazika (wengine wanapenda tena nimewahi kusoma humu JF wenyewe wame confess wakiona wadada wamevaa low cut jeans afu na hiyo ngozi yetu laini ikionekana na ile nanihii bas ina wavutia)

mmmmmmhhhhh

Yaani huwa nakereka sana sijui ni kwa nini, utakuta boxer chafuuu

mmmh! Ndugu yangu, atleast hata ikiwa safi jamani. Mtu hata aende vipi na fashion , lakini kama kitu alichovaa ni kichafu........hata haipendezi na mbaya zaidi anakiachia tu hata hajali mweeh!

2675577922_32e835f2d2_z.jpg

Saggy...no boxers shown.

skinny jeans rocked by Fally Ipupa,they suck!!

skinny jeans za wanaume
zinawafaa watu na wa penzi
wa Rock Music.. sana sana
na watu wa nchi za mashariki...
(na wanaume wembamba)

Similar Discussions

Back
Top Bottom