vijana, vijana (wanaume) naombeni....

<br />
<br />
Sijui kuna wanawake wanavutiwa kuona hiyo? (maana wanaume wao ni tofauti).

Binafsi inani put off kabisaa

Kwanza huwa naona aibu kwa niaba ya muhusika.

swali la kwanza Lizzy anajibu lake....

kwa yaliyobakiwa asante..
 
Waacheni bana kila mtu kwa raha zake ili mradi hajavunja sheria wala kutembea uchi
 
kwa kweli inani boaga sana, napenda a gentleman look, yaani kama idris Elba or Blair Underwood vile wanavyovaa

duhhhhh
huko mbali sana ..
hawa wanapendeza sana daahhhhh

mi naomba kama hawawezi
kuvaa hivyo wavae kinachoeleweka na ziwe safi tu...
 
<br />
<br />
Mweeh!
Tunatofautiana.....mi huwa natamani nipate mjeledi niwatandika pale pale! Malabuku....
jaribu hapo kwenye red siku moja huenda ikasaidia kupunguza hii tabia, teh teh teh
 
Hii kweli inaudhi sana,asante kwa kuwaambia hawa vijana,ila nafikiri ni utoto ndo unachangia sana!
 
Natumaini hamjambo wote ...

Wanaume sana sana Vijana
naombeni sana jamani muanze kuvuta suruali zenu juu
au kama mmeamua kulegeza au kuto kufunga mikanda
vaeni Boxes , sagz au Briefs.. ...

5387102.jpg
Sagz

inaniudhi sana kuona mwanaume/ kijana
amevaaa chupi mpaka miraba ya ****
inaonekana ... vaeni vitu vya maana ndani kama mmnataka
kuvuta hizo suruali chini ...
Asanteeni

hehehe wewe unatafta ban sasa, kuna mod mmoja (jina tunalo), ndio vaa vaa zake hizi.
 
hehehe wewe unatafta ban sasa, kuna mod mmoja (jina tunalo), ndio vaa vaa zake hizi.

duuuhhhh
sijui nikufukuzie
au nikuache tu .......

Na we kwa nini uliache hii style..
si nilikuwa nakuona kipindi kile
una buruza mguu wa kulia mbele
na suruali magotini khaaaa..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom