vijana, vijana (wanaume) naombeni....

Mimi wala hawanisumbui. Nina watoto wa ndugu zangu wanapiga kata K kwa kwenda mbele. Ni utoto tu wakikua wataacha. Ushaona mtu anaenda ofisini na kata K. Naona ni haki yao kuenjoy ujana.

Tatizo ni fashion. Ni ngumu sana kupata jeans ya kuanzia kiunoni. Sema solution ni kuvaa blouz kubwa. Nimesha notice hata maduka makubwa hamna jeans za kufika tumboni these days.
xactly! Sasa hiyo ya juu yenye ni low cut ndo wakaka wanakwazika (wengine wanapenda tena nimewahi kusoma humu JF wenyewe wame confess wakiona wadada wamevaa low cut jeans afu na hiyo ngozi yetu laini ikionekana na ile nanihii bas ina wavutia)

Mimi wala hawanisumbui. Nina watoto wa ndugu zangu wanapiga kata K kwa kwenda mbele. Ni utoto tu wakikua wataacha. Ushaona mtu anaenda ofisini na kata K. Naona ni haki yao kuenjoy ujana.

Hakuna anaye wakataza kuvaa wapendavyo..
illa kama wanavaa hivyo wavae kitu kama
boxes, sagz au briefs na ziwe safi ....

ndo maana ya hii thread ...

Tatizo ni fashion. Ni ngumu sana kupata jeans ya kuanzia kiunoni. Sema solution ni kuvaa blouz kubwa. Nimesha notice hata maduka makubwa hamna jeans za kufika tumboni these days.

Zipo bana siku hizi fasheni ya suruali zinaanzia chini kidogo ya matiti....

Binafsi sina tatizo na low cut jeans....nazipenda sana tu,

highjeans.jpg
unamaanisha hizi??

unamaanisha hizi??

Hizi hizi wala si nyingine....shukrani sana, nyumba kubwa atakua kaziona sasa

duuuhhhh
sijui nikufukuzie
au nikuache tu .......

Na we kwa nini uliache hii style..
si nilikuwa nakuona kipindi kile
una buruza mguu wa kulia mbele
na suruali magotini khaaaa..

umenikonfyuzi na Uporoto, mimi ni zee la suti, samtaimu hata silali na pajama naondoka na suti la koffie olomide mpaka kitandani.
Lizzy atasibitisha hii

mmmmhhhhhh
itabidi nijinunulie miwani
sababu nilikuwa nauhakika ni wewe ...

mmmmhhhhhh
itabidi nijinunulie miwani
sababu nilikuwa nauhakika ni wewe ...

Uporoto samtaimu anatumia jina langu kutongozea warembo (jina lake, anatafutwa na polisi wa mpakani) , isije ikawa alijilipua na kwako pia?

BTW: mimi nakuwa stembeagi peke yangu, nakuwa na bodyguards all ze time.

Hahahahahahaha
sasa na uhakika umerudi
Welcome back ....

Similar Discussions

Back
Top Bottom