Vijana tuwe makini UKIMWI utatumaliza

Vijana tuwe makini UKIMWI utatumaliza

Kijana utakuja kumuambukiza mkeo bure kwa uzembe. UKIMWI upo na unatesa. Kabla ya kuchepuka hakikisha umempima mwanamke au tumia condoms. Vipimo vya UKIMWI vinapatikana tu hospital hata nesi ukimuomba anakupa.
Sasa ukimpima ndio unasaidia nini, unaweza kutwa MTU ameambilukizwa week moja kabla kama anao atakuambukiza na kwenye vipimo haviwrzi kusoma.
 
Mtoa mada kama umeniona vile, Niko na dozi yangu hapa na week sasa natumia, mavidonge yanaleta usingizi hatari.
Ni hivi, Ilikua week end iliyopita tu narudi zangu toka mkoa mishale ya saa tano hivi usiku nafika ruvu usingizi mzito unanijia kiasi cha kuhama barabara,
Nikasema isiwe kesi, ngoja nikifika mlandizi nitalala, mefika mlandizi nikachukua room huyoo mpaka magetoni. shetani alikotokea. akaniambia acha udwanzi utalalaje peke yako sehemu ka hii?
Nikaamka. nikaenda kaunta, nikamwachia maagizo dada wa kaunta. nikampa spesfikesheni nazotaka,nikampa na tip nikarudi room.
mda si mwingi sanaa mlango ukagongwa, ni yule resepshenist pamoja na mgeni wangu. Baada ya utambulisho, nikamwambia mwenyeji wangu mi mgeni pande zile anaweza kunionesha viwanja vya pale.(Mistake).
Tukatoka nikampakia kwenye gari nikifuata maelekezo. Mpakaa kidimbwi. Piga sana laga kiasi sijielewielewi tukatoka kurudi room mida mibaya, Tunafika room, naulizia cd hakuna na kila mtu ashalala.
Mzee baba nikauloweka usiku kucha naamka asubuhi halahaulaaa!
Daah. Kwa hasira nikajisalimisha hospital nilipata huduma ila baada ya kunangwa sanaa.
Nimeambiwa nirudi baada ya mwezi kupima kama dozi imetenda kazi ama la.
 
R.I.P in advance!!
 
Jitahidi tu utamaliza bora umeze mwezi mmoja kuliko kumeza maisha yako yote
 
Kijana utakuja kumuambukiza mkeo bure kwa uzembe. UKIMWI upo na unatesa. Kabla ya kuchepuka hakikisha umempima mwanamke au tumia condoms. Vipimo vya UKIMWI vinapatikana tu hospital hata nesi ukimuomba anakupa.
Kweli kabisa nimejifunza sirudii
 
Kijana utakuja kumuambukiza mkeo bure kwa uzembe. UKIMWI upo na unatesa. Kabla ya kuchepuka hakikisha umempima mwanamke au tumia condoms. Vipimo vya UKIMWI vinapatikana tu hospital hata nesi ukimuomba anakupa.
Anakupa bure?
 
Back
Top Bottom