KIXI
JF-Expert Member
- Mar 3, 2015
- 2,395
- 3,190
Daah shoga tenaMademu sio wa kuwaamini mara 10 ukapiga shoga au punyeto..
Daah shoga tenaMademu sio wa kuwaamini mara 10 ukapiga shoga au punyeto..
Kuna match wahuni tunauza aisee basi tu, pombe zikiisha ndio akili inarudi, siji kusahau.Nakumbuka ilikua mwaka mwezi wa saba nikazini na mdada mmoja hivi ilikua usiku kucha basi bhana kuna muda tulicheza show lkn wazungu hawakutoki demu akasema toa condom nikagoma wote tulikuwa tungi cku ikapita nikasema sinwiti tena.Sasa mwezi wa 10 mwaka c nikamuita tena mihamu ilinizidi akaja usiku kucha tunapiga show tulilewa tena.Demu kama kawaida yake cjui alinipania akaniambia nitoe condom mi na ufala wangu nikatoa tulifanya sex rough mpaka kunakucha asubuh demu akasepa mi sina hili wala lile.Hiyo ilikua ijumaa,jumamosi nikashinda jumapili nikashtuka nikasema jana nimepiga kavu na demu mwenyewe simuelewi Nikaona niwahi hospital kufika pale nikaambiwa PEP hamna hadi jumatatu ili niwahi kabla hayajafika masaa 72 bahati nzuri nikaenda wodin nikapewa PEP .Jumatatu ilipofika nikamtafuta yupe demu nikamwambia aje lengo langu lilikua kumpima bc akaja nikamueleza inabid tupime akakubali ila akawa anasema vipimo vyenyewe vinadanganya lkn akapima .Dah sikuamini macho yangu nilivyompima demu kawaka nilikosa furaha.Ikanibid niendelee na dozi cku yangu ilikua mbaya nikasema napata UKIMWI kirahisi hivi.wiki iliyopita nimepima niko vizuri sirudii tena nimekoma mimi
Hii tuiwekee lamination kabisaHongera mkuu kwa kuwa salama. Hapo sasa uache tu zinaa hamna namna. Ukiona mwanamke ndio anasisitiza uvue condom au anasisitiza kutokutumia condom vaa boksa yako na nguo zako ondoka kapige punyeto.
Mkuu kwani hujui mashoga tunaishi nao mtaani,shoga hawezi kugawa mpango kwa kila mtu....ukimpakua wewe anakua na wivu balaaDaah shoga tena
Hayo yako mzee,mimi ni baba wa familia na watoto mahitaji wanapata kikatiba ila nakula mashoga kama fantasy na wao wanang'ang`ana nawaacha vpOne man down ...i repeat one man down
Nimemkumbuka banza
Demu apewe 50,000 hapo kaniambia ni show time.Na wengine mnasema na ndomu hamsikii raha, tatizo mnatumia kondomu za 500 ikizidi 1000. Pumbavu!
Maisha haya kila kitu kina grade.
Tumia condomu zinauzwa elfu 20 -30 unaweza kila wakati ukachomoa kuangalia ni yenyewe au bado ipo kwenye mkwaju. Huhisi kama umevaa kitu, ladha ileile.
Tena kama ni usiku apige mpaka kunakucha.Hongera mkuu kwa kuwa salama. Hapo sasa uache tu zinaa hamna namna. Ukiona mwanamke ndio anasisitiza uvue condom au anasisitiza kutokutumia condom vaa boksa yako na nguo zako ondoka kapige punyeto.
Kuna mtu wangu wa karibu aliniuliza hizo za 20 ni washable? Nikabidi nicheke tu.Demu apewe 50,000 hapo kaniambia ni show time.
Nijiongeze gharama za 30,000 kwa ndomu tu!? Braza Braza ujue tuko TZ not U.K.
Even U.K sidhani kama wanatumia hizi za 30k and if wanatumia nadhani hawajapelekewa za buku buku,wakipelekewa hamna ataetumua tena za 30k.
Hivi shida yote hii yanini hasa? natafuta mabuti kuingia shamba langu mwenyewe?! Kama kudanja acha nidanje..
Jomba umetisha.Hayo yako mzee,mimi ni baba wa familia na watoto mahitaji wanapata kikatiba ila nakula mashoga kama fantasy na wao wanang'ang`ana nawaacha vp
vidudu vya UKIMWI vina sifa vikidhamiria kuingia mwilini mwako hata utumie Malboro vinapenya.. Solution ni 1 tu, mashamba yasio salama tuacheni kuyalima, waachiwe wanaoyaweza mashamba yao.Kuna mtu wangu wa karibu aliniuliza hizo za 20 ni washable? Nikabidi nicheke tu.
Heri gharama kubwa za ulinzi kuliko majuto ya kudumu.
Wasichokijua wengi umekisema bro. Diabetes, Cancer, BP ni magonjwa mabaya kuliko hata AIDs ila wengi huwa hawajui.Fanyeni mazoezi,pendeleeni mazoezi,Fateni Lishe Bora.
Ukimwi cha mtoto, Kuna Magonjwa shkamooo... Magonjwa yote yanayoletwa na life style yetu nayaogopa sana.
Kuupata Ukimwi Udhamirie kweli,na uwe mzembe kweli kweli.
ila kuna haya magonjwa BABA lao,ukilipata utahitaji kuishi kwa matumaini kuliko mwenye Ukimwi.
Usinifanyie hivyo pleaseWewe yaani haupati piga nyeto mkuu