Vijana tuwe makini UKIMWI utatumaliza

Vijana tuwe makini UKIMWI utatumaliza

Wengi wanaumia Kwa sababu ya ulevi,na mimi day moja nilikuwa bwax Sana,Huwa hata nikiwa hivyo natumiaga ndomu,basi siku hiyo nilikuwa nakula bia na Malaya mmja ,mwishowe nikaenda nae shoo hyo demu ni WA Tanga,muheza,kwenye harakati na gemu nikasikia mpira para,kesho pombe zilivyonitoka nikaenda hospitali ya mkoa kukuaa pep,zinalewesha Sana siku ya kwanza nilihara ,mavi kama mekundu mekundu na full udingizi,nikagundua wanakula ARVS mziki wao SI wa kitoto,kula pep mwezi mmja nilinyoroka ,nikaacha upuuzi ,
Nikitaka kula demu ni mwendo wa vipimo tuu
 
Nakumbuka ilikuwa mwaka mwezi wa saba nikazini na mdada mmoja hivi ilikua usiku kucha basi bhana kuna muda tulicheza show lkn wazungu hawakutoki demu akasema toa condom nikagoma wote tulikuwa tungi cku ikapita nikasema sinwiti tena.

Sasa mwezi wa 10 mwaka si nikamuita tena mihamu ilinizidi akaja usiku kucha tunapiga show tulilewa tena.

Demu kama kawaida yake cjui alinipania akaniambia nitoe condom mi na ufala wangu nikatoa tulifanya sex rough mpaka kunakucha asubuh demu akasepa mi sina hili wala lile.

Hiyo ilikuwa Ijumaa, Jumamosi nikashinda Jumapili nikashtuka nikasema jana nimepiga kavu na demu mwenyewe simuelewi nikaona niwahi hospital kufika pale nikaambiwa PEP hamna hadi Jumatatu ili niwahi kabla hayajafika masaa 72 bahati nzuri nikaenda wodin nikapewa PEP

Jumatatu ilipofika nikamtafuta yupe demu nikamwambia aje lengo langu lilikuwa kumpima basi akaja nikamueleza inabidi tupime akakubali ila akawa anasema vipimo vyenyewe vinadanganya lkn akapima .

Dah sikuamini macho yangu nilivyompima demu kawaka nilikosa furaha. Ikanibidi niendelee na dozi siku yangu ilikuwa mbaya nikasema napata UKIMWI kirahisi hivi.

Wiki iliyopita nimepima niko vizuri sirudii tena nimekoma mimi
Acha kutisha watu ukimwi haupatikani kirahisi hivyo. Alafu wewe sio mtombaji kama unogopa ngoma.
 
Kuna kamoja 23yrs kalikuja na vipimo kabisa tukapima nkala show ya kibabe but
Balaa ni like lile pesa na vizinga kama vyote
 
Hongera mkuu kwa kuwa salama. Hapo sasa uache tu zinaa hamna namna. Ukiona mwanamke ndio anasisitiza uvue condom au anasisitiza kutokutumia condom vaa boksa yako na nguo zako ondoka kapige punyeto.
Huku bistol ipo tayari kulenga, yataka moyo
 
Nakumbuka ilikuwa mwaka mwezi wa saba nikazini na mdada mmoja hivi ilikua usiku kucha basi bhana kuna muda tulicheza show lkn wazungu hawakutoki demu akasema toa condom nikagoma wote tulikuwa tungi cku ikapita nikasema sinwiti tena.

Sasa mwezi wa 10 mwaka si nikamuita tena mihamu ilinizidi akaja usiku kucha tunapiga show tulilewa tena.

Demu kama kawaida yake cjui alinipania akaniambia nitoe condom mi na ufala wangu nikatoa tulifanya sex rough mpaka kunakucha asubuh demu akasepa mi sina hili wala lile.

Hiyo ilikuwa Ijumaa, Jumamosi nikashinda Jumapili nikashtuka nikasema jana nimepiga kavu na demu mwenyewe simuelewi nikaona niwahi hospital kufika pale nikaambiwa PEP hamna hadi Jumatatu ili niwahi kabla hayajafika masaa 72 bahati nzuri nikaenda wodin nikapewa PEP

Jumatatu ilipofika nikamtafuta yupe demu nikamwambia aje lengo langu lilikuwa kumpima basi akaja nikamueleza inabidi tupime akakubali ila akawa anasema vipimo vyenyewe vinadanganya lkn akapima .

Dah sikuamini macho yangu nilivyompima demu kawaka nilikosa furaha. Ikanibidi niendelee na dozi siku yangu ilikuwa mbaya nikasema napata UKIMWI kirahisi hivi.

Wiki iliyopita nimepima niko vizuri sirudii tena nimekoma mimi
Kijana utakuja kumuambukiza mkeo bure kwa uzembe. UKIMWI upo na unatesa. Kabla ya kuchepuka hakikisha umempima mwanamke au tumia condoms. Vipimo vya UKIMWI vinapatikana tu hospital hata nesi ukimuomba anakupa.
 
Nakumbuka ilikuwa mwaka mwezi wa saba nikazini na mdada mmoja hivi ilikua usiku kucha basi bhana kuna muda tulicheza show lkn wazungu hawakutoki demu akasema toa condom nikagoma wote tulikuwa tungi cku ikapita nikasema sinwiti tena.

Sasa mwezi wa 10 mwaka si nikamuita tena mihamu ilinizidi akaja usiku kucha tunapiga show tulilewa tena.

Demu kama kawaida yake cjui alinipania akaniambia nitoe condom mi na ufala wangu nikatoa tulifanya sex rough mpaka kunakucha asubuh demu akasepa mi sina hili wala lile.

Hiyo ilikuwa Ijumaa, Jumamosi nikashinda Jumapili nikashtuka nikasema jana nimepiga kavu na demu mwenyewe simuelewi nikaona niwahi hospital kufika pale nikaambiwa PEP hamna hadi Jumatatu ili niwahi kabla hayajafika masaa 72 bahati nzuri nikaenda wodin nikapewa PEP

Jumatatu ilipofika nikamtafuta yupe demu nikamwambia aje lengo langu lilikuwa kumpima basi akaja nikamueleza inabidi tupime akakubali ila akawa anasema vipimo vyenyewe vinadanganya lkn akapima .

Dah sikuamini macho yangu nilivyompima demu kawaka nilikosa furaha. Ikanibidi niendelee na dozi siku yangu ilikuwa mbaya nikasema napata UKIMWI kirahisi hivi.

Wiki iliyopita nimepima niko vizuri sirudii tena nimekoma mimi
Uzi mama huu niliandika zamani sana same umeandika
 
Back
Top Bottom