Nkulu wa nchito
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,952
- 2,579
Nakumbuka ilikuwa mwaka mwezi wa saba nikazini na mdada mmoja hivi ilikua usiku kucha basi bhana kuna muda tulicheza show lkn wazungu hawakutoki demu akasema toa condom nikagoma wote tulikuwa tungi cku ikapita nikasema sinwiti tena.
Sasa mwezi wa 10 mwaka si nikamuita tena mihamu ilinizidi akaja usiku kucha tunapiga show tulilewa tena.
Demu kama kawaida yake cjui alinipania akaniambia nitoe condom mi na ufala wangu nikatoa tulifanya sex rough mpaka kunakucha asubuh demu akasepa mi sina hili wala lile.
Hiyo ilikuwa Ijumaa, Jumamosi nikashinda Jumapili nikashtuka nikasema jana nimepiga kavu na demu mwenyewe simuelewi nikaona niwahi hospital kufika pale nikaambiwa PEP hamna hadi Jumatatu ili niwahi kabla hayajafika masaa 72 bahati nzuri nikaenda wodin nikapewa PEP
Jumatatu ilipofika nikamtafuta yupe demu nikamwambia aje lengo langu lilikuwa kumpima basi akaja nikamueleza inabidi tupime akakubali ila akawa anasema vipimo vyenyewe vinadanganya lkn akapima .
Dah sikuamini macho yangu nilivyompima demu kawaka nilikosa furaha. Ikanibidi niendelee na dozi siku yangu ilikuwa mbaya nikasema napata UKIMWI kirahisi hivi.
Wiki iliyopita nimepima niko vizuri sirudii tena nimekoma mimi