Vijana nyie wajinga sana

Nilipo nahangaika kumsaidia kwa sababu shida yake ni ulevi kama mimi tu , chawa wewe
kumbe mna changamoto sawa na zinazofanana gentleman?🤣

ila I appreciate ukarimu wako kwake, that's how we should be living as human being, the childrens of mama Tanzania 🐒
 
Sawa tajear... ila ungeweka na "baadhi ya " ingependeza
 
Hahaah ni kwel bwashee ila pia naona wapo sawa tu😅 mimi pia ni mdau wa kukosoa sana acha ninywe hicho kikombe🤣
 
cc Hance Mtanashati kila mada yeye ni chai tu
 
Changamoto

Hii story ina nikumbusha siku nimeenda kuomba kazi mgahawani nikapata siku hiyo hiyo, baada ya siku tatu akaja jamaa mmoja kuomba kazi naye akapata baada ya nusu saa watu wa pale wakajisahau jamaa akakomba simu zote kama 5 ambazo zilikuwepo mezani counter akakomba na elf 70 akatembea

Hiyo siku sitakaa niisihau niliabika sana Mimi kijana maskin mwenye shida, jamaa alituchafua sana vijana
 
Mkuu, hii ishu c tulishamalizana, mbona unakuja kunitangaza hadi huku tena bro
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…