Ulie mpost ni mkenya yupo kiwanja ,wewe upo kidimbwi tu na balimi zako gademittTangazo limenyooka sanaView attachment 3629816
tenda wema na uende zako gentleman 🐒Kuna kijana wa humu kanifuata , anataka nimuunganishie mchongo, nikavuta simu moja kwa mwanagu tajiri wa mwanza akampa dogo babashoap, dogo alikua anakula zaidi ya 400k bila wasiwasi kusimamia tu, yeye akusanye tu maokoto ya boss , now boss wake ananipigia simu dongo miyeyusho analeta pesa pungufu na kalewa vibaya sana , nikamwamba mtimue .
Hivyo kwanza humu kausheni kuniomba connection , mpaka mpate akili timamu gademitt
umetenda wema wako vizuri mno kwa muungwana, na huna haja ya kubabaika nae kwa namna yoyote ile ikiwa anajiharibia mwenyewe na maisha yake licha ya kukufedhehesha kwa rafiki yako 🐒Siendi zangu bado , nina watanganyika wa kuwasaidia kuliko wewe chawa, gentlemen
Kama ccm mlivotutenda wananchi.tenda wema na uende zako gentleman 🐒
Nipo na bobonya mkuu, balimi gharama sana.Ulie mpost ni mkenya yupo kiwanja ,wewe upo kidimbwi tu na balimi zako gademitt
Nilipo nahangaika kumsaidia kwa sababu shida yake ni ulevi kama mimi tu , chawa weweumetenda wema wako vizuri mno kwa muungwana, na huna haja ya kubabaika nae kwa namna yoyote ile ikiwa anajiharibia mwenyewe na maisha yake licha ya kukufedhehesha kwa rafiki yako 🐒
AI mkali 🤣 x unatumia jina gan vileMambo yasiwe mengi,View attachment 3629824pesa ya bosi.
Hivi bado unaendekeza mambo hayo.Mada zangu usomi kuelewa kuna mda akiba ya daraja achana nazoKuna kijana wa humu kanifuata , anataka nimuunganishie mchongo, nikavuta simu moja kwa mwanangu tajiri wa mwanza akampa dogo babashoap, dogo alikua anakula zaidi ya 400k bila wasiwasi kusimamia tu, yeye akusanye tu maokoto ya boss , now boss wake ananipigia simu dongo miyeyusho, analeta pesa pungufu na kalewa vibaya sana , nikamwamba mtimue .
Hivyo kwanza humu kausheni kuniomba connection , mpaka mpate akili timamu gademitt
Hapna bwashee 😅Huyo kijana bila shaka ni chai ya rangi