proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 7,352
- 11,252
Mithali au proverbs 31:3 usiwape wanawake nguvu zako Wala moyo wako.....
Cheki jings hili..wanawake wangap wana uwezo lkn hawapat wa kuwaoa? Kusena ule ukwl wanaume hawatak kuoa ss hvsio kwamba vijana hawataki kuoa ila mabinti wasiotaka kuolewa ni wengi kuliko wanaotaka, trust me mabinti wengi wanaoolewa ni kwa sababu maisha yamewaendea kombo au kutafuta unafuu wa maisha, ni wachache ambao wameolewa kwa utayari wao wa kuwa ndani ya ndoa
Mm natak kuolewa ila sipati wa kunioa...utasema ninasagana kwa kuwa sijaolewa??au ninadanga?? Wanawake wanapambania ndoa had si vzr lkn km haijaandikwa huipat..kuna mda had natamn nipate hata wa kunioa mje wa pili lkn simpat..wanaume hawatK kuoa..sijui n mapepo au shda n nnukiona mtu mzima wa afiya uwezo wakuoa anao kuolewa ataki kuoa kuolewa mtu huyo kama ni mwanaume basi ni hanithi kamasio basi huyo ke atakuwa anasagwa na huyu me basi shogo hau wote hao watakuwa malaya
Ss janaume linakunywa pombe na kazi halina..afu mwanamke ana kaz ya serikali unatak hilo janaume alipeleke wap..huo n mfn tuHahahahah! Na wanapata guts za kutoa vigezo vya wanaume wanaotaka. Utasikia, mara ooh sitaki mnywa pombe, sitaki mkali nataka mume mpole na asiyejua mamb ya club... kmmk linalosema haya unakuta ni limalaya limoja lililokubuhu na kuchoka. Linataka mume mpole mpole ili limuendeshe
Duh sasa unanitusi nimekukosea nini dada, au sitakiwi kutoa maoni yangu humuCheki jings hili..wanawake wangap wana uwezo lkn hawapat wa kuwaoa? Kusena ule ukwl wanaume hawatak kuoa ss hv