Vijana mnaotafuta wake nendeni Jumapili kwa Mwamposa, wamejazana nyomi!

Mkulungwa01

JF-Expert Member
Jul 14, 2021
3,979
5,295
Ijuma Kareem ndugu zetu Waislamu na Heri ya siku hii pia kwa Wana-jamiiforums wote. Katika mihangaiko yangu ya kusaka 'ngawila' nimebahatika kufanya kazi na watu mashuhuri na wakubwa mbali mbali hapa nchini.

Miongoni mwa hao wakubwa basi Mwamposa na BM ni miongoni mwao. Ila naomba nijikite kwa huyu Mwamposa kwa muktadha wa huduma yake.

Kwa Jumapili siyo chini ya tatu nilizokwenda kanisani kwake pale Kawe, nimebahatika kukutana na MAMIA ya mabinti ambao wanakwenda kuomba wapate waume wa kuwaoa.

Mabinti wengi niliowakuta ni warembo, warefu wa vimo, wana maumbo ya kutamanisha, weupe na wana nyuso za furaha na ukarimu sana.

Sasa nikakumbuka humu kuna vijana wengi hawajaoa, sasa nikaona niwaambie vijana, jisogezeni pale Kawe mkajichagulie wanawake wa kuoa, hivi hamuwaoni wale pisi kali kwenye Arise And Shine TV kila Jumapili?

Yaani wanaume ni wachache sana mpaka watoto wazuri kama wale wanakosa wa kuwaoa. Aisee hali ni ngumu mno.

Achilia mbali hilo, hata mitaani huku wapo mabinti wengi tunaishi nao wanatafuta waume wa kuwaoa vijana mpo wapi? Mfano kuna binti ana gari, nyumba, elimu n.k, yeye anatafuta mume tu, mpaka kwa waganga ameshakwenda sana ili mambo yake yakae sawa.

Huyu binti hivi wakware hawamuoni? Vijana mnashindwa wapi nyie? Kawe kwa mwezi yaani Jumapili nne, zaidi ya pisi kali mia nne zinaripoti kutafuta waume. Zimekosa waume wa kuwaoa.

Zipambanieni zile pisi kali za Kawe vijana oeni wekeni ndani mpate familia. Mnaziangaliaje na kuziacha tu hivi hivi huku mkila kwa macho?
 
Kampeni kataa ndoa hado sheria kandamizi zibadilishwe bado inaswaga njia

Mkuu hebu weka japo picha moja ya pisi hizo tuone kinachotakiwa kuchangamkiwa😀😀
 
Ijuma Kareem ndugu zetu Waislamu na Heri ya siku hii pia kwa Wana-jamiiforums wote. Katika mihangaiko yangu ya kusaka 'ngawila' nimebahatika kufanya kazi na watu mashuhuri na wakubwa mbali mbali hapa nchini.

Miongoni mwa hao wakubwa basi Mwamposa na BM ni miongoni mwao. Ila naomba nijikite kwa huyu Mwamposa kwa muktadha wa huduma yake.

Kwa Jumapili siyo chini ya tatu nilizokwenda kanisani kwake pale Kawe, nimebahatika kukutana na MAMIA ya mabinti ambao wanakwenda kuomba wapate waume wa kuwaoa.

Mabinti wengi niliowakuta ni warembo, warefu wa vimo, wana maumbo ya kutamanisha, weupe na wana nyuso za furaha na ukarimu sana.

Sasa nikakumbuka humu kuna vijana wengi hawajaoa, sasa nikaona niwaambie vijana, jisogezeni pale Kawe mkajichagulie wanawake wa kuoa, hivi hamuwaoni wale pisi kali kwenye Arise And Shine TV kila Jumapili?

Yaani wanaume ni wachache sana mpaka watoto wazuri kama wale wanakosa wa kuwaoa. Aisee hali ni ngumu mno.

Achilia mbali hilo, hata mitaani huku wapo mabinti wengi tunaishi nao wanatafuta waume wa kuwaoa vijana mpo wapi? Mfano kuna binti ana gari, nyumba, elimu n.k, yeye anatafuta mume tu, mpaka kwa waganga ameshakwenda sana ili mambo yake yakae sawa.

Huyu binti hivi wakware hawamuoni? Vijana mnashindwa wapi nyie?
Kawe kwa mwezi yaani Jumapili nne, zaidi ya pisi kali mia nne zinaripoti kutafuta waume. Zimekosa waume wa kuwaoa.

Zipambanieni zile pisi kali za Kawe vijana oeni wekeni ndani mpate familia.
Mnaziangaliaje na kuziacha tu hivi hivi huku mkila kwa macho?
Kwamba huyo Mwamposa amekwama kuwaombea wapate Mume?. Tupe ripoti ya hili kwanza. MAOMBI yameishia kwenye nguzo za TANESCO au?.
 
Ogopa sana mwanamke aliedesperate sana na ndoa,wanaingiaga kwny ndoa kimkakati zaid

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Unaona mwamba huyo kabla hajaanza kuvuna hela zao. Kongole kwake he made something for himself.
IMG-20230504-WA0006.jpg
 
Ijuma Kareem ndugu zetu Waislamu na Heri ya siku hii pia kwa Wana-jamiiforums wote. Katika mihangaiko yangu ya kusaka 'ngawila' nimebahatika kufanya kazi na watu mashuhuri na wakubwa mbali mbali hapa nchini.

Miongoni mwa hao wakubwa basi Mwamposa na BM ni miongoni mwao. Ila naomba nijikite kwa huyu Mwamposa kwa muktadha wa huduma yake.

Kwa Jumapili siyo chini ya tatu nilizokwenda kanisani kwake pale Kawe, nimebahatika kukutana na MAMIA ya mabinti ambao wanakwenda kuomba wapate waume wa kuwaoa.

Mabinti wengi niliowakuta ni warembo, warefu wa vimo, wana maumbo ya kutamanisha, weupe na wana nyuso za furaha na ukarimu sana.

Sasa nikakumbuka humu kuna vijana wengi hawajaoa, sasa nikaona niwaambie vijana, jisogezeni pale Kawe mkajichagulie wanawake wa kuoa, hivi hamuwaoni wale pisi kali kwenye Arise And Shine TV kila Jumapili?

Yaani wanaume ni wachache sana mpaka watoto wazuri kama wale wanakosa wa kuwaoa. Aisee hali ni ngumu mno.

Achilia mbali hilo, hata mitaani huku wapo mabinti wengi tunaishi nao wanatafuta waume wa kuwaoa vijana mpo wapi? Mfano kuna binti ana gari, nyumba, elimu n.k, yeye anatafuta mume tu, mpaka kwa waganga ameshakwenda sana ili mambo yake yakae sawa.

Huyu binti hivi wakware hawamuoni? Vijana mnashindwa wapi nyie? Kawe kwa mwezi yaani Jumapili nne, zaidi ya pisi kali mia nne zinaripoti kutafuta waume. Zimekosa waume wa kuwaoa.

Zipambanieni zile pisi kali za Kawe vijana oeni wekeni ndani mpate familia. Mnaziangaliaje na kuziacha tu hivi hivi huku mkila kwa macho?

Waoe wewe, nani alikwambia vijana hawaoi sababu hakuna wanawake?
 
Back
Top Bottom