Vijana ni kwanini hamtaki kuoa?

Vijana ni kwanini hamtaki kuoa?

sio kwamba vijana hawataki kuoa ila mabinti wasiotaka kuolewa ni wengi kuliko wanaotaka, trust me mabinti wengi wanaoolewa ni kwa sababu maisha yamewaendea kombo au kutafuta unafuu wa maisha, ni wachache ambao wameolewa kwa utayari wao wa kuwa ndani ya ndoa
Kweli mabinti hawataki kuolewa.wanapeda kudanga.
 
Ijumaa Kareem!

Kwamba mmeamua kumwaga ugali au?

Naomba nisiongee mengi leo ila nashuhudia malalamiko mengi sana kutoka kwa wanawake. J Pili nikipiga jicho Kawe kwa Mwamposa naona mamia ya akina dada tena ni warembo wenye maumbo yao, wakitaka kuombewa wapate waume.

Vijana fungukeni, nini kipo nyuma ya pazia kwa nyie kukataa kabisa kuoa?

Hii kampeni ya 'kijana kataa ndoa' ilianza kama masihara humu JF, ila saa hizi mpaka mitaani vijana wenye mafanikio wengi wanaitumia.

Wanazalisha tu wanalea watoto.

Hii kampeni inazidi kusambaa kwa kasi ya ajabu with time.

Vilio kwa akina dada navyo ni vingi na si haba.

Hebu tusemezane sasa leo vijana.
ukiona mtu mzima wa afiya uwezo wakuoa anao kuolewa ataki kuoa kuolewa mtu huyo kama ni mwanaume basi ni hanithi kamasio basi huyo ke atakuwa anasagwa na huyu me basi shogo hau wote hao watakuwa malaya
 
Kwa mwamposa hakuna wanawake kuna manungayembe tu, wanaokwenda kule wote jua la saa 12 (wametumika weeeee! washazalishwa vya kutosha au maisha yamewapiga vya kutosha ndo wanataka ndoa na ndo wameamua kumrudia mungu)

pisi kali inayodai bado na kujitambua huwezi kuta imeenda kule... tuweke sawa hapo mleta mada.
 
Ndoa haingalii urembo na makalio makubwa ndoa inajumuisha vitu vingi sana ambavyo ukianza kuchambua na kuringanisha baina ya wanawake wa zamani na sasa utaona kuna utofauti mkubwa sana.Wanawake wengi wa sikuizi hawana maadili yaani kuna vitu unakuta mke wa mtu anavifanya kwa mumewe hadi unabaki unatikisa kichwa tu ni aibu bora kila mtu ashinde mechi zake.

Basi kwa sababu hiyo ndoa haifai,mana ni utamaduni wa kijima,nw ni sasa kuna utamaduni mpya ambapo suala la ndoa hali fit.
 
Ijumaa Kareem!

Kwamba mmeamua kumwaga ugali au?

Naomba nisiongee mengi leo ila nashuhudia malalamiko mengi sana kutoka kwa wanawake. J Pili nikipiga jicho Kawe kwa Mwamposa naona mamia ya akina dada tena ni warembo wenye maumbo yao, wakitaka kuombewa wapate waume.

Vijana fungukeni, nini kipo nyuma ya pazia kwa nyie kukataa kabisa kuoa?

Hii kampeni ya 'kijana kataa ndoa' ilianza kama masihara humu JF, ila saa hizi mpaka mitaani vijana wenye mafanikio wengi wanaitumia.

Wanazalisha tu wanalea watoto.

Hii kampeni inazidi kusambaa kwa kasi ya ajabu with time.

Vilio kwa akina dada navyo ni vingi na si haba.

Hebu tusemezane sasa leo vijana.
Wao kuomba kiasi hicho inafanya wanaume waamini kuna mtego ndio maana mpaka wanafanyiwa maombi...
Wanaume hawaoi sababu ya;
1. Kujifanya Kujua
2. Kuingilia mamlaka ya mwanaume ktk maamuzi
2. Mitandao inawahatibu wanawake wanataka waishi ma wanaume zao ktk ndoa kama mitandaoni
3. Wanatongozeka kirahisi kwa wanaume wengine hivyo kuharibu ndia... ni maumivu makali mwanamke unayemgharamia na umemuoa agonwe kwingine, kwa wanaume kwa wmeanke tuliyempenda inauma sana...
5. Ufeki, anaweza alajifanya anakupenda ila ukishaoa wanaanza onyesha rangi zao halisi..
6. Etc

Kwa kifupi wanaume hatutaki hizi stress za kujitakia... tunaweza pata chochote kinachopatikana ndani ya ndia hata tukiwa nje ya ndoa.
Mwanaume akioa ni kaamua kujilipua kwa ajili ya huyo mwanamke...
 
Back
Top Bottom