Benbulugu
JF-Expert Member
- Sep 14, 2016
- 801
- 1,169
Mkuu, unamadini Sana, nakuheshimu, kama unataaluma flani niheri ukaandika vitabu, au ukawa mshauriChini ya Jua ,Pesa inaweza kuletea mwanamke yoyote unayemtaka, ila Haitakaa kukuletea mwanamke mwema.
Lkn pia Bado chin ya Jua, Umasikin utakuletea Mwanamke yoyote unayemtaka lkn hautakaa kukuletea Mwanamke mwema.