Kadri Mwanamke anavyokuwa mzuri ndio wasiwasi wa kuchapiwa unakuwa juu

BabaMorgan

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
4,050
10,495
Possibility ya mwanamke mzuri kuliwa ipo juu kulinganisha na mwanamke wa kawaida au mbovu ni jambo ambalo liko wazi kabisa jaribu kufikiria mwanamke ambaye akipita sehemu kila mmoja anapiga salute kuwa chombo kimepita mpaka wanawake wenzake wanakubali kuwa mwenzao ni mzuri..

Sasa ukiwa na mwanamke wa design hii lazima upate shinikizo la moyo mwisho ujifie kwa stress maana anakuwa most wanted watu watatumia rasilimali fedha kuhakikisha tu analiwa na kuna wahuni hawaoni hasara kumwaga pesa kwa watoto wazuri kama ni mke wako atabana wee mpaka siku ataachia mwenyewe.

Back in a days nishawahi kufanya kazi na pisikali wilaya fulani aisee yule binti alikuwa anafuatiliwa na madon balaa nilikuwa naona mume wake alivyokuwa akiishi kama digidigi kwa wasiwasi wa kuchapiwa na kweli alikuwa anachapiwa.

Sasa yote ya nini kukaa na wasiwasi wa kuchapiwa ni bora ujichukulie kamwanamke kako ka kawaida kabisa ambako hata akipita mtaani watu hawashtuki kumuepusha na team mafisi ambao wakiamua lao hawashindwi.

Hata mimi napenda wanawake wazuri ila siwezi kuthubutu kuoa mwanamke mzuri kwanza mwanamke mzuri akishajijua ni mzuri kuna aina fulani ya maisha ya hadhi ya chini hataki kuishi hata kama ndio maisha ya kwao.

Kama pesa ipo ni kuwapelekea moto tu sometimes naelewa kwa nini mimi sio tajiri maana ningepelekea moto afu ningekuwa silali na mwanamke mmoja mara mbili hawa viumbe wanadharau juzi kuna kimoja kimeropoka eti hawezi kulala na mwanaume masikini.
 
Uzuri Wa Mwanamke Unazoeleka Inabaki Akili Na Mitazamo Kama Inafanana Hutowaza Uzuri Wake Tena.

Upendo Kati Ya Mwanaume Na Mwanamke Unadumu Kwa Chemistry Yenu Na Si Uzuri Au Urembo Wa Muonekano Bali Ni Uzuri Wa Akili Kichwani.

Hakuna Mwanaume Anaweza Kukaa Na Mwanamke Mpumbafu And Vice Versa
 
Hapo sasa ndio:
Chemically reactive
Biologically active
Geographically located
and Physically fit
1710891412710.png
 
Wasiwasi wangu: Ile strong quality ya "kuwa kiume" inapungua siku baada ya siku. Tulizoeaga wanawake ndio waongeaji sana wanapokutana kwenye vijiwe vyao either saluni, sokoni etc...lakin siku hizi vijiwe ndo hivi jf, insta, whatsapp groups n.k. Lakin kila siku mnaanzisha mada iwe ni kusifia, kuponda, kuonya, kulialia, lakin katika mada 5 za siku, 4 zinaongelea mwanamke. Na ni wanaume mnaoanzisha...is this necessary?? Mabaya yetu ni mengi lakin the topics say otherwise....
 
Sikataani na hoja... Lakini ikitokea ni lazima mke achapwe basi bora aliwe na mtu wa maana sio bodaboda bro!!!
Hizi pisi za kawaida sio Kama hazitongozwi.... Tena hao ndo wanatongozwa vibaya sana humo kwenye charting zake utakuta Kuna makondakta, wahuni wa kitaa, bodaboda, waha wanapitisha mabeseni, (sababu hawamuhofii wanamuona n low key,,,,, lakini akiwa mzuri angarau wapiga debe na wauza mkaa watamuogopa kdg

Ni aibu sana kuchangia mke na kijana mwenye dred akiwa na pens yake ya jins kweny kituo cha bodaboda akisubir abiria
 
Ha ha ha ha ha
 
Possibility ya mwanamke mzuri kuliwa ipo juu kulinganisha na mwanamke wa kawaida au mbovu ni jambo ambalo liko wazi kabisa jaribu kufikiria mwanamke ambaye akipita sehemu kila mmoja anapiga salute kuwa chombo kimepita mpaka wanawake wenzake wanakubali kuwa mwenzao ni mzuri..

Sasa ukiwa na mwanamke wa design hii lazima upate shinikizo la moyo mwisho ujifie kwa stress maana anakuwa most wanted watu watatumia rasilimali fedha kuhakikisha tu analiwa na kuna wahuni hawaoni hasara kumwaga pesa kwa watoto wazuri kama ni mke wako atabana wee mpaka siku ataachia mwenyewe.

Back in a days nishawahi kufanya kazi na pisikali wilaya fulani aisee yule binti alikuwa anafuatiliwa na madon balaa nilikuwa naona mume wake alivyokuwa akiishi kama digidigi kwa wasiwasi wa kuchapiwa na kweli alikuwa anachapiwa.

Sasa yote ya nini kukaa na wasiwasi wa kuchapiwa ni bora ujichukulie kamwanamke kako ka kawaida kabisa ambako hata akipita mtaani watu hawashtuki kumuepusha na team mafisi ambao wakiamua lao hawashindwi.

Hata mimi napenda wanawake wazuri ila siwezi kuthubutu kuoa mwanamke mzuri kwanza mwanamke mzuri akishajijua ni mzuri kuna aina fulani ya maisha ya hadhi ya chini hataki kuishi hata kama ndio maisha ya kwao.

Kama pesa ipo ni kuwapelekea moto tu sometimes naelewa kwa nini mimi sio tajiri maana ningepelekea moto afu ningekuwa silali na mwanamke mmoja mara mbili hawa viumbe wanadharau juzi kuna kimoja kimeropoka eti hawezi kulala na mwanaume masikini.
ndume yenye uhakika wa perfomance haichungulii nkewe alieshughulikiwa vizuri akaridhika.....
 
Sikataani na hoja... Lakini ikitokea ni lazima mke achapwe basi bora aliwe na mtu wa maana sio bodaboda bro!!!
Hizi pisi za kawaida sio Kama hazitongozwi.... Tena hao ndo wanatongozwa vibaya sana humo kwenye charting zake utakuta Kuna makondakta, wahuni wa kitaa, bodaboda, waha wanapitisha mabeseni, (sababu hawamuhofii wanamuona n low key,,,,, lakini akiwa mzuri angarau wapiga debe na wauza mkaa watamuogopa kdg

Ni aibu sana kuchangia mke na kijana mwenye dred akiwa na pens yake ya jins kweny kituo cha bodaboda akisubir abiria
Kuliwa ni kuliwa tu, hakuna cha mtu wa hadhi au kapuku.
 
Back
Top Bottom