Vijana msidanganywe, ukiwa na pesa utapata mwanamke umtakaye

Wanawake hawaeleweki Kuna demu alinipenda safi tu lakini hajawahi kuniomba hata thumni! Nikawa nashangaa mwisho wa siku akachapwa na mshikaji tu aliempa ela nkamuuliza akaniambia yeye ananipenda hapendi kuniomba hela sababu ananipenda ko alikua anachuna wengine…
 
Siku hizi usijisumbuwe na kutongoza
Wewe tafuta pesa tu watakutongoza wenyewe

Ushauri wa bure huu nimewapa

Wasikudanganye kuwa kuna wanawake wengine hawataki pesa ao walikuwa wa 0 mpaka wa 2004 lakini kuanzia 2005 mpaka sasa wote wanapenda pesa
 
Mkuu umenena
Kua na pesa haina maana utampata mtu unaempenda
Ni never never never!!!!!!!
Aise kuna wanadada wanajielewa sana
Ukiwa na pesa utapata haya makuruga kuruga tu yanauopaka mekapu sijui 24hrs
Ila kuna watu pesa ni something else kabisa kwao
Yaani haiwapi shida!

Ukiona umempata kwa pesa basi jua yeye ndio pesa!
Tuweke kwenye bango la mjini hii comment
 
Sio kweli,wangapi wameanza kulala chini lkn sasa hivi matajiri?
Siwez kukataa ila huo ni mfumo wa kizamani , hauwezi kumhudumia mwanamke wa sasa , naukafanya mambo makubwa kama unaanzia 0 , labda ujiokotee wale wanawake ambao hata unashindwa kuwatambulisha kwa rafiki zako , hao kidgo unaweza jitafuta na kufanikiwa ukiwa nae, kijna anae enda kufanikiwa hata ukimwangalia mwanamke wake hawezi kukuvutia mkuu.
 
Back
Top Bottom