Vijana msidanganywe, ukiwa na pesa utapata mwanamke umtakaye

MKUU.. kama na wewe ni wale wa kupigiwa kura naomba niambie kura wanapigiwaje? Nikupigie kama sio wale wakupigiwa kura ngoja nikupongeze.. MKUU kama MWALIMU nyerere ni binaadamu tulimtegemeaga kipindi kile sasa hivi niwewe MKUU.. shikamoo nyingi kwako
 
Nashukuru Mke Wangu nilimuoa hukunsina mbele wala nyuma yaani tofauti yangu na kitumbua ni mafuta tu bandugu.
Kiukweli hata MIE Mke Wa kumuoa sikuwa namuonyeshea mambo mazuri yaani ni kumfanyia mauzauza ili nione anastahimili vipi.
Kudisco chuo ndio nini na mm nataka kujua
 
.
269602218_454991336266147_7322912834538195187_n.jpg


Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Chini ya Jua ,Pesa inaweza kuletea mwanamke yoyote unayemtaka, ila Haitakaa kukuletea mwanamke mwema.

Lkn pia Bado chin ya Jua, Umasikin utakuletea Mwanamke yoyote unayemtaka lkn hautakaa kukuletea Mwanamke mwema.
Mkuu,mada ninzuri Sana,je hyo mipaka nikatika uashareti Tu au namambo mengi,pia,hujaelezea mbinu zipi tuzifanye ili kuweza kumuwekea mipaka, mwanamke,iwe mchumba au mke,or whatever
 
Back
Top Bottom