Vijana mkipewa kazi fanyeni kazi. Inaumiza sana mnapewa kazi mnalipua kazi

Unataka kutukanwa umeona halina Impact nenda kawaambie Akudo, pita kushoto

Impact gani linalo? Kwenye hii jamii Kuna:

1. Wavivu.
2. Matapeli.
3. Wahuni.
4. Wazembe.
5. Walipuaji.

Tunafanyaje:

Jua namna ya kuwakwepa kwenye shughuli zako, wewe unataka waishe Tanzania, halkwezekani Hilo, deal with yourself and watu wako wa karibu
 
Nilichosema vijana fanyeni kazi acheni kulipualipua kazi fanya kazi kwa viwango, usiniletee excuse za majority wa vijana kuamba Tanzani ni hivi na hivi ndio nimesema vijana fanyeni kazi mkipewa kazi fanyeni kazi msilete ujanja ujanja kwenye kazi uvuvi na uzembe wako ubaki kwenu unalipwa kufanya kazi fanya kazi
 
Issue sio kuweza au kutokuweza kazi mkuu, issue ni kuifanya kazi kwa viwaango haijalishi unalipwa kiasi gani ila kazi yako inakutambulisha wewe km wewe kwamba hii kazi alifanya nani? Na kukujengea mtandao mzuri wa wateja wa kuwafanyia, sasa unapofanya kazi mbovu hutopata wateja au unaweza ukapoteza kazi ukafunga ofisi kabisa sababu watu wataanza kufukuza watu weengine msiende pale yule analipualipua hajui kuifanya kazi
Unaposema haijalishi unalipwa kiasi gani unamaanisha Nini?, tafuta fundi mzuri halafu mlipe pesa nzuri, mafundi wazuri wengi wanataka pesa nzuri, ufundi si kazi ya kujitolea. Siku hizi si kama zamani.
 
Una uhakika we ni tajiri? Na pia hujiulizi kuwa kwann upande wa mwanzo walifanya vizuri l, upande wa pili wakalipua sio wewe ndo kulileta mizinguo? Mi navojua tajiri hawezi chukua fundi wa mitaani au wa kuunga unga acha kuchafua jina la VETA!
 
Nilichosema vijana fanyeni kazi acheni kulipualipua kazi fanya kazi kwa viwango, usiniletee excuse za majority wa vijana kuamba Tanzani ni hivi na hivi ndio nimesema vijana fanyeni kazi mkipewa kazi fanyeni kazi msilete ujanja ujanja kwenye kazi uvuvi na uzembe wako ubaki kwenu unalipwa kufanya kazi fanya kazi

Rubbish, tofautisha fact na excuse, Sawa Mzee kifimbo cheza, wakomeshe!
 
Sina muda wa Salamu.
Nina hasira kichizi.

Wadau kuna hawa vijana wanaoingia na kutoka VETA huku mtaani wanafungua showroom zao za aluminium kufanya ufundi majumbani kufunga vioo kwenye madirisha.

Vijana mnapopewa kazi fanyeni kazi msilete utoto utoto na ujanja ujanja kwenye kazi ukipewa kazi hakikisha kazi imenyooka usiache kipengele chochote kwenye kazi, usipige konakona nyingi hio ni kazi kijana hio kazi inakujengea profile yako na usimfanye tajiri km fala mbumbumbu hajui kitu huyo tajiri ana wakaguzi wake wataikagua hio kazi.

Madogo wamepewa kazi wamelipwa full package yaani pesa yote mpaka na ya chakula njooni mfunge vioo kwenye madirisha. Vijana wakafika site wakaanza kufunga upande wa kwanza wa nyumba wamefanya vizuri marks 95% nikawapa.

Vijana walipohamia upande wa pili wakalipua kazi upande wote kioo ukisukuma mpaka utumie nguvu nusu kujichana mikono nusu kukipasua marks 0% kabisa.

Sasa Vijana km hawa wanapewa kazi wanalipua kazi wanataka kazi kweli? Unawapa kazi wafanye kazi vijana wanalipualipua tu kazi wanaondoka wakidhani kwamba tajiri hatokagua kazi.

Mbaya zaidi tajiri unawafuata kwa upole kabisa unawaambia vijana mmeharibu kazi kule emu njooni mrekebishe wanajibu sawa tajiri tunakuja kurekebisha sababu ya upole wa tajiri na mizunguko mingi aliyonayo vijana hawaji kurekebisha, anarudi kuuliza vijana walikuja anaambiwa vijana hawakuja kurekebisha zinapita siku 2 vijana hawataki kurekebisha kazi na pesa wamekula, vijana mnachezea kazi?

Hivi vijana hamjui kwamba unapofanya kazi nzuri kwa viwango kitaalamu yaan professional inakutengenezea uaminifu wa kazi zingine, wigo mpana wa kazi na inakujengea mtandao mzuri wa kupata kazi nyingine zaidi?

Kwanini mnachezea kazi vijana? Mnapewa kazi mnachezea kazi vijana kwanini? Kwanini mkipewa kazi mnacheza na kazi mnalipua kazi hamfanyi kazi kwa viwango vinavyotakiwa kwanini vijana mnachezea kazi?

Jirekebisheni vijana usicheze na kazi, ukipewa kazi fanya kazi tena nyoosha kazi iwe na viwango sio unalipualipua tu kisha unaondoka.
Kwahiyo tajiri divansi ukatoa yote
 
Rubbish, tofautisha fact na excuse, Sawa Mzee kifimbo cheza, wakomeshe!
Wewe unaleta excuse na umepewa kazi km hujui kazi si unasema sijui kazi kwanini unalazimisha kuifanya kazi ambayo hauna taaluma nayo?
 
Kubali kwamba wahuni wapo tu, Haya lalamika basi pia na ya ccm, report za cag na takukuru ni za Nini?
 
Sina muda wa Salamu.
Nina hasira kichizi.

Wadau kuna hawa vijana wanaoingia na kutoka VETA huku mtaani wanafungua showroom zao za aluminium kufanya ufundi majumbani kufunga vioo kwenye madirisha.

Vijana mnapopewa kazi fanyeni kazi msilete utoto utoto na ujanja ujanja kwenye kazi ukipewa kazi hakikisha kazi imenyooka usiache kipengele chochote kwenye kazi, usipige konakona nyingi hio ni kazi kijana hio kazi inakujengea profile yako na usimfanye tajiri km fala mbumbumbu hajui kitu huyo tajiri ana wakaguzi wake wataikagua hio kazi.

Madogo wamepewa kazi wamelipwa full package yaani pesa yote mpaka na ya chakula njooni mfunge vioo kwenye madirisha. Vijana wakafika site wakaanza kufunga upande wa kwanza wa nyumba wamefanya vizuri marks 95% nikawapa.

Vijana walipohamia upande wa pili wakalipua kazi upande wote kioo ukisukuma mpaka utumie nguvu nusu kujichana mikono nusu kukipasua marks 0% kabisa.

Sasa Vijana km hawa wanapewa kazi wanalipua kazi wanataka kazi kweli? Unawapa kazi wafanye kazi vijana wanalipualipua tu kazi wanaondoka wakidhani kwamba tajiri hatokagua kazi.

Mbaya zaidi tajiri unawafuata kwa upole kabisa unawaambia vijana mmeharibu kazi kule emu njooni mrekebishe wanajibu sawa tajiri tunakuja kurekebisha sababu ya upole wa tajiri na mizunguko mingi aliyonayo vijana hawaji kurekebisha, anarudi kuuliza vijana walikuja anaambiwa vijana hawakuja kurekebisha zinapita siku 2 vijana hawataki kurekebisha kazi na pesa wamekula, vijana mnachezea kazi?

Hivi vijana hamjui kwamba unapofanya kazi nzuri kwa viwango kitaalamu yaan professional inakutengenezea uaminifu wa kazi zingine, wigo mpana wa kazi na inakujengea mtandao mzuri wa kupata kazi nyingine zaidi?

Kwanini mnachezea kazi vijana? Mnapewa kazi mnachezea kazi vijana kwanini? Kwanini mkipewa kazi mnacheza na kazi mnalipua kazi hamfanyi kazi kwa viwango vinavyotakiwa kwanini vijana mnachezea kazi?

Jirekebisheni vijana usicheze na kazi, ukipewa kazi fanya kazi tena nyoosha kazi iwe na viwango sio unalipualipua tu kisha unaondoka.
Wanavyopenda hela sasa. Wanajua zinaokotwa
 
Back
Top Bottom