Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,776
- 34,762
Kama unayajua yote hayo unaeda kutafuta nn hujk JKT?? Mm sikuwahi kuwaza kwenda na naendesha maisha yangu kwa namna nyinngineNa ndio maana nimesema hapo chini kuwa tunaona ndio uaskari kumbe ni uonevu tupu.. Serikali sasa iwalipe angalau laki 2 za kujihudumia. Kazi za kule ni ngumu afu kwa lazima. Tunatumikisha watu kwa kigezo cha kujitolea mbona wazee hawaruhusiwi kama ni kujitolea? Limit ya umri itolewe ili kila atakaye ajiunge..
NASISITIZA NI CHEAP LABOUR.
Wakati ule wa JK 90% ya walioenda kule walipata ajira, Magereza, JWTZ, TISS, polisi, uhamiaji, TAKUKURU, AUXILLIARY POLICE kama TPA, MALIASILI NK.
Na wengi walikuwa hawamalizi mikataba yao.