Kv-london
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 2,892
- 5,082
Na gharama za maisha zipo juu ila unaiahi kiprimitv tu upate mtaji wako its a free tax countryKweli dubai maisha mazuri
Na gharama za maisha zipo juu ila unaiahi kiprimitv tu upate mtaji wako its a free tax countryKweli dubai maisha mazuri
Wakikuacha salama ww sijui ngoja wapite wazee wa kazi hyo mihemko yako itakutokea puanSi waandamane, hao siwanajua kutumia SMG, AKA47, waingie msituni watengeneze kikosi kama alishababuu
Hii serikali ni ya kipuuzi, wajiajiri waanze kuvamia benki, na masoko kupiga hela,
Kama serikali imeshindwa kufanya kazi, acha watumie mbinu za kijeshi,
Kuhusu vifaa, waje pm, ntawawezesha tuu
By city hunter
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]vip mkuu mbona unatesekaWakikuacha salama ww sijui ngoja wapite wazee wa kazi hyo mihemko yako itakutokea puan
Dubai wanapenda Sana cheap labour huko ukienda unachexea mishahara ya USD 250-300 basi afu maisha yk ni ghali Sana.Aisee hapo Dubai kuna nafasi nyingi sana ya kazi za ulinzi za kumwaga uwe na passport yako tu na visa salary 4000AED ×600 =2800000
Duuuuuh unafikiri hilo ndiyo suluhisho??Si waandamane, hao siwanajua kutumia SMG, AKA47, waingie msituni watengeneze kikosi kama alishababuu
Hii serikali ni ya kipuuzi, wajiajiri waanze kuvamia benki, na masoko kupiga hela,
Kama serikali imeshindwa kufanya kazi, acha watumie mbinu za kijeshi,
Kuhusu vifaa, waje pm, ntawawezesha tuu
By city hunter
Yeye huyo ni mzee wa kaziWakikuacha salama ww sijui ngoja wapite wazee wa kazi hyo mihemko yako itakutokea puan
KABISA MKUU..Service man wanapiga kazi balaaa..[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] Yani wanalima huku wamesimamiwaaa... Ule ni utumwaa walahi bora serikali iwe inachukua watu wachache ambao mwisho wa siku watawaajiri yani Jeshi iwe ni proffesional...NA HUO NDIO UKWELI MCHUNGU., JKT NI CHEAP LABOR KAMA VILE WAKOLONI TU. HUWEZI CHUKUA WATOTO UNAWALIPA ELFU 50 KISA UNAWAPA CHAKULA, WANALIMISHWA MASHAMBA MAKUBWA, WANAJENGESHWA, NA KILA AINA YA KAZI. WENGI WANAPATA ULEMAVU NA HATA MAGONJWA MBALIMBALI.
HII NI CHEAP LABOR. TUPAZE SAUTI ZETU. MM NIMEPITIA HUKO NIMEONA MENGI YASIYO NA HAKI KWA KIGEZO YA UASKARI KUMBE NI UONEVU TUPU.
Nmemsoma mkuu.Yeye huyo ni mzee wa kazi
Ha ha ha ha endelea na majukumu yako kiongozi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]vip mkuu mbona unateseka
Kwa maisha ya sasa hio inaweza kusaidiaDuuuuuh unafikiri hilo ndiyo suluhisho??
Na ndio maana nimesema hapo chini kuwa tunaona ndio uaskari kumbe ni uonevu tupu.. Serikali sasa iwalipe angalau laki 2 za kujihudumia. Kazi za kule ni ngumu afu kwa lazima. Tunatumikisha watu kwa kigezo cha kujitolea mbona wazee hawaruhusiwi kama ni kujitolea? Limit ya umri itolewe ili kila atakaye ajiunge..Basi hukupikika kwa misingi na nidhamu ya kijeshi kama kweli umepita jkt sidhan kama ungeandika ulichoandika suala la kurudi lipo kwa maana mkataba uko wazi kbsa halafu sio mara ya kwanza kwa vijana kurudi home toka enzi za maraisi waliopita huu utaratibu ulikuwepo usipotoshe watu kupaza sauti kama umerudi home baada ya muda wako kuisha nakushauri tumia ujuzi ulioupata jkt katk maendeleo ya taifa
Nimekaa OLJORO yaan mnalima hadi usenge.. Baridi kali afu na zile kokoto pale chini unapigishwa push up za kufa mtu.KABISA MKUU..Service man wanapiga kazi balaaa..[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] Yani wanalima huku wamesimamiwaaa... Ule ni utumwaa walahi bora serikali iwe inachukua watu wachache ambao mwisho wa siku watawaajiri yani Jeshi iwe ni proffesional...
Sawa wamujibu.Nimekaa OLJORO yaan mnalima hadi usenge.. Baridi kali afu na zile kokoto pale chini unapigishwa push up za kufa mtu.
Mwisho madogo hata kazi za kawaida hawakumbukwi. Kama uzalendo wamepata kwann msiwape kipau mbele kuajiriwa wao kwanye nyanja mbali mbali.
MIAKA KADHAA HUKO MBELE NITABADILISHA. MAANA NITAKUWA KATIKA LEVEL YA KIMAAMUZI
Hahaha mkuu hiyo sio sawa.. Sheria za nchi lazma zifuatwe. Kinachotakiwa na wachikuliwe wachache ili waweze wamudu. Na wawalipe posho nzuri tu.Si waandamane, hao siwanajua kutumia SMG, AKA47, waingie msituni watengeneze kikosi kama alishababuu
Hii serikali ni ya kipuuzi, wajiajiri waanze kuvamia benki, na masoko kupiga hela,
Kama serikali imeshindwa kufanya kazi, acha watumie mbinu za kijeshi,
Kuhusu vifaa, waje pm, ntawawezesha tuu
By city hunter
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ha ha ha ha endelea na majukumu yako kiongozi
Kama unaamini hivyo hongera zakoKwa maisha ya sasa hio inaweza kusaidia