Hakuna kitu kinauma kama kutoboa mkataba wa JKT bila ajira.
Unajua ukiwa JKT hata hawa polisi unawaona ni watoto yaan unajiona brigedia kamanda.
Kuna nyimbo za dharau kwa polisi hadi basi,kuna hii moja hapa " kazi ya jeshi ni ngumu aeeeeeee si kama ya polisi pushup kwenye godoro aeeeeeeee"
Sasa unarudi mtaani ukiwa huna tena kinga hata mgambo wa jiji anapita na ww ...aseee inauma kichizi,ukicheki miaka miwili umekuwa ukilima kama punda hahahahahahah unarudi nyumbani bila ramani asee wana hali ngumu sana .
Mm ni kuruti mtoro ninayetafufutwa kwa kukimbia mafunzo 824 KJ..
Kuruti wote 824KJ kunyweni maji mengi jeshi si la bibi zenu ...