social_science
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 1,105
- 1,262
Nikiwa kijana mdogo niliend kuomba kujitolea kwenye shirika binafsi ofisa niliemkuta akanijibu "ndio utajitolea ila itaitajika upate chochote kidogo japo kwa chakula na nauli" akasema kwa sasa hayupo vizuri nijaribu kwingine.
Sasa hawa ndugu zetu "kujitolea" wameichukulia kama kujitolea kweli kweli,uzalendo unasaidia nini kama viongozi wanaingia mikataba mibovu namna hii.
Kama kulima kila mtu anajua bwana.
Sasa hawa ndugu zetu "kujitolea" wameichukulia kama kujitolea kweli kweli,uzalendo unasaidia nini kama viongozi wanaingia mikataba mibovu namna hii.
Kama kulima kila mtu anajua bwana.